Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,792
Uzinzi wako utakugharimu viben10 vimejaa atachagua anakotaka hafu ndo utajua kuwa dunia tambara bovutatizo sio k500 mkuu hata kwao pesa sio shida kwaiyo kwake anaziona kawaida na anawivu mkali sana kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mimiNakwambia hivi hakuna mwanamke ambaye anamuacha mpenzi mwenye pesa, wengi wao huomba usiku kucha mchana kutwa amuoe hafu akishazaa nae ndo aaneze vurugu za kuachana maana anajua watoto wanamlinda mwenye kugawana mali, nimeshuhudia mambo mengi sana, wanawake wenye mapenzi ya dhati 0.01 ya wote duniani
Pole sana mkuu.Ushauri naombeni members wenzangu wa JF.
Habari wakuu, naombeni ushauli wenu wakuu Leo mpenzi wangu amefumania message za mwanamke mwingine ambazo zilikuwa za muda mlefu ameamua kuniacha, nikimtumia message hajibu whtspp message zinatiki anaziona lakini hajibu kila nikituma message za msamaha anaziangalia tuu hajibu mpaka nimechoka sasa, nampenda sana.
Ushauri wenu wenu wakuu nifanyeje anielewe
Asntn.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa nmekuelewa mkuu lakin ataniewa kweli ? jee nikae tu mpka wiki nisimtafute ?Pole sana mkuu.
Mtafute week ijayo siku kama ya leo.
Atakusikiliza vziuri tu.
Ila achana na michepuko kijana.
Sent using Jamii Forums mobile app
yey akutak ndo maana akujib,kwahy itabd nawe umwache,cha msing kua makini na gonjwa ili la CORONA,fata maelezo ya wizara ya afya
Ni lisaa linoja nanusu tuu mkuu tangu saa moja kasoroKubaliana na khali/matokeo mkuu
Toka afume hizo sms za mapenzi kwenye simu yako ni muda gani umepita?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wewe unayejifanya unawivu ndo mzuri, ukifuma sms unabembeleza utalia kitachofuata ni mgegedo maisha yataendelea, yaani hapo sitokuacha uondoke lazima uliwe kwanzaSio mimi
dooohUzinzi wako utakugharimu viben10 vimejaa atachagua anakotaka hafu ndo utajua kuwa dunia tambara bovu
Tena wewe unayejifanya unawivu ndo mzuri, ukifuma sms unabembeleza utalia kitachofuata ni mgegedo maisha yataendelea, yaani hapo sitokuacha uondoke lazima uliwe kwanza
haya sawayey akutak ndo maana akujib,kwahy itabd nawe umwache,cha msing kua makini na gonjwa ili la CORONA,fata maelezo ya wizara ya afya
Sent using Jamii Forums mobile app
Yataisha tuu usiwe na hofu
Ikiwezekana mpe namba za huyo manzi aliyefuma sms zake wamalizane wenyewe
Usiingilie mambo ya wanawake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumuacha huwez ila yy kukuacha anaweza sasa naona unashindana na uwezo.