Nipe namba yake nijaribu kumbembeleza taratibuUshauri naombeni members wenzangu wa JF.
Habari wakuu, naombeni ushauli wenu wakuu Leo mpenzi wangu amefumania message zamwanamke mwingine ambazo zilikuwa zamuda mlefu ameamua kuniacha, nikimtumia message hajibu whtspp message zinatiki anaziona lakini hajibu kila nikituma message zamsamaha anaziangalia tuu hajibu mpka nimechoka sasa, nampenda sana.
ushauli wenu wenu wakuu nifanyeje anielewe
Asntn.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nampenda nakumuacha siwezi mkuu nifanyejeAcha kuwaza mambo ya wanawake.
Sasa tukusaidieje!!??
Sasa mimi nikushauri nini ambacho unataka usikie.
Tatizo huna pesa ndo maana umeachwa we unadhani alivyoziona ungemchapa 500k hapo ungeona anatabasamu huku chozi likimlengalenga na angekula mgege yangeishia kitandani, tafuta pesa ndio heshima ya mwanaume kwa mkeUshauri naombeni members wenzangu wa JF.
Habari wakuu, naombeni ushauli wenu wakuu Leo mpenzi wangu amefumania message za mwanamke mwingine ambazo zilikuwa za muda mlefu ameamua kuniacha, nikimtumia message hajibu whtspp message zinatiki anaziona lakini hajibu kila nikituma message za msamaha anaziangalia tuu hajibu mpaka nimechoka sasa, nampenda sana.
Ushauri wenu wenu wakuu nifanyeje anielewe
Asntn.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio woteTatizo huna pesa ndo maana umeachwa we unadhani alivyoziona ungemchapa 500k hapo ungeona anatabasamu huku chozi likimlengalenga na angekula mgege yangeishia kitandani, tafuta pesa ndio heshima ya mwanaume kwa mke
Nakwambia hivi hakuna mwanamke ambaye anamuacha mpenzi mwenye pesa, wengi wao huomba usiku kucha mchana kutwa amuoe hafu akishazaa nae ndo aaneze vurugu za kuachana maana anajua watoto wanamlinda mwenye kugawana mali, nimeshuhudia mambo mengi sana, wanawake wenye mapenzi ya dhati 0.01 ya wote dunianiSio wote

Shukuru amekuepusha na corona yupo karantini hukoUshauri naombeni members wenzangu wa JF.
Habari wakuu, naombeni ushauli wenu wakuu Leo mpenzi wangu amefumania message za mwanamke mwingine ambazo zilikuwa za muda mlefu ameamua kuniacha, nikimtumia message hajibu whtspp message zinatiki anaziona lakini hajibu kila nikituma message za msamaha anaziangalia tuu hajibu mpaka nimechoka sasa, nampenda sana.
Ushauri wenu wenu wakuu nifanyeje anielewe
Asntn.
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo sio k500 mkuu hata kwao pesa sio shida kwaiyo kwake anaziona kawaida na anawivu mkali sana kwanguTatizo huna pesa ndo maana umeachwa we unadhani alivyoziona ungemchapa 500k hapo ungeona anatabasamu huku chozi likimlengalenga na angekula mgege yangeishia kitandani, tafuta pesa ndio heshima ya mwanaume kwa mke
Kweli kabisa mkuu huyu wangu hayupo kipesa Kama iyo k500 sio shidaSio wote
sumu yaje hata ck moja huwezi kukuta message mbovu mkuuNa ww mtengenezee kosa la kushika simu bila ruhusa yako alaf uwe ww ndo umemuacha ili akuombe msamaha yeye
GunFire