Nna mpenz wangu ambaye tumehaidiana kufunga ndoa hapo badae,sa juz nliingia kwenye account yake ya facbuk nlyoyakuta ndio yamenleta hapa.
Anamarafk kutoka india na marekan ,sms zao znamcfia kuwA ye ni mzur na wanapenda kuwA na mahucano naye cjafaham n ya aina gan.
Wengne wanamwta darling,swt,beb na anareply vzur.na huyo mwngne anataka kasema yuko tayar kuja tz,mchumba angu kasema yuko tayar kumpokea.
So I don know wat to do with this one,nkimuulza anasema n urafiki wa kawaida.
Plz help me by tellng me somthng about it!
Mbona hayo ni maisha ya kawaida tu bwana kwani kuna tatizo gani kama watafanikiwa watakunja kisha wakuachie mzigo wako hapo kama demu akidatishwa akakutosa nawewe utaibua mwingine mbele wala usiwe na presha dunia ndio imefikia hapo inatakiwa kukubali tu matokeoNna mpenz wangu ambaye tumehaidiana kufunga ndoa hapo badae,sa juz nliingia kwenye account yake ya facbuk nlyoyakuta ndio yamenleta hapa.
Anamarafk kutoka india na marekan ,sms zao znamcfia kuwA ye ni mzur na wanapenda kuwA na mahucano naye cjafaham n ya aina gan.
Wengne wanamwta darling,swt,beb na anareply vzur.na huyo mwngne anataka kasema yuko tayar kuja tz,mchumba angu kasema yuko tayar kumpokea.
So I don know wat to do with this one,nkimuulza anasema n urafiki wa kawaida.
Plz help me by tellng me somthng about it!
If ke humuamini, jiepushe na upekuzi upekuzi utaumia bureeeeee!
Jiamini tu!
Hakikisha unatimiza wajibu wako kwake!
Akisaliti tafuta wengine! Wapo kibwena!
Ukiwa unakitafuta kitu ukikipata utachukia au utafurahi?
Unaweza kuwa hujanielewa,nakupa tena mfano mwingine
Ukijua ndani mwako kuna nyoka utaenda kuuliza watu umfanye nini?
Halafu huwa nikijua mwanamke yupo FB huwa nastuka kidogo
Sijui kwanini!
Nna mpenz wangu ambaye tumehaidiana kufunga ndoa hapo badae,sa juz nliingia kwenye account yake ya facbuk nlyoyakuta ndio yamenleta hapa.
Anamarafk kutoka india na marekan ,sms zao znamcfia kuwA ye ni mzur na wanapenda kuwA na mahucano naye cjafaham n ya aina gan.
Wengne wanamwta darling,swt,beb na anareply vzur.na huyo mwngne anataka kasema yuko tayar kuja tz,mchumba angu kasema yuko tayar kumpokea.
So I don know wat to do with this one,nkimuulza anasema n urafiki wa kawaida.
Plz help me by tellng me somthng about it!
Ukijua yupo JF, unajisikiaje?
Nna mpenz wangu ambaye tumehaidiana kufunga ndoa hapo badae,sa juz nliingia kwenye account yake ya facbuk nlyoyakuta ndio yamenleta hapa.Anamarafk kutoka india na marekan ,sms zao znamcfia kuwA ye ni mzur na wanapenda kuwA na mahucano naye cjafaham n ya aina gan.Wengne wanamwta darling,swt,beb na anareply vzur.na huyo mwngne anataka kasema yuko tayar kuja tz,mchumba angu kasema yuko tayar kumpokea.So I don know wat to do with this one,nkimuulza anasema n urafiki wa kawaida.Plz help me by tellng me somthng about it!
Angalau afadhali!