Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,517
- 9,438
- Thread starter
-
- #21
Hakuna mahali niliposema umchukie baba.....mzazi ni mzazi tu...Daaaah kama kumpenda mama lazima umchukie baba, basi huo upendo una walakini
Unavyoona sasa hivi ke wanavyosumbua,hata kwenye ndoa kuna hizo changamoto...mwisho wa siku uvumilivu unakushinda na kuamua kuachana;hapo ndipo mama anammezesha mtoto sumu kumchukia baba yake;ndio maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili...wamama wana siri kubwa sana na hawawezi kukuambia sababu ya msingi iliyomfanya aachane na baba yako zaidi ya kukudanganya pamoja na kupandikiza chuki tu.Endapo nisipokujakuwa baba bora wa kusimamia majukumu yangu...watakuwa na haki ya kusema hivyo
Ni kweli kabisa uliyoyasema...Unavyoona sasa hivi ke wanavyosumbua,hata kwenye ndoa kuna hizo changamoto...mwisho wa siku uvumilivu unakushinda na kuamua kuachana;hapo ndipo mama anammezesha mtoto sumu kumchukia baba yake;ndio maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili...wamama wana siri kubwa sana na hawawezi kukuambia sababu ya msingi iliyomfanya aachane na baba yako zaidi ya kukudanganya pamoja na kupandikiza chuki tu.
Inategemea na aina ya mama,kwa mfano mama mwenye mchepuko nje anaweza akamzuia baba wa mtoto asimuone mwanaye,au mtoto akawekewa mazingira ya kutokuonana na baba yake.Wapo wababa wanaoteseka kwa kuwekewa kizuizi cha kutokuwa karibu na watoto wao.Ni kweli kabisa uliyoyasema...
Lakini endapo umeachana na mkeo, ukawa unarudi nyuma kulipia watoto wako ada na kuwapatia mahitaji mengine ya msingi, kunasiku watakuwa wakubwa na ukweli na uongo vitajitenga..
Tatizo la wazazi wengi wa Kitanzania wakishagombana au kuyengana, wanahamishia chuki zao kwa watoto....
Ni Kweli hilo lipo sana tu...lakini mara nyingi imekuwa wanaume ndiyo tunaongoza kwa kuzitelekeza familia....wapo wanawake hao wachache wenye akili finyu, wanaodanganywa na michepuko, lakini soon ile michepuko ikiondoka zake....wanawake hao hurudi kwa waume zao wakijutia makosa....bahati mbaya wwngi wao wanakuta it's too lateInategemea na aina ya mama,kwa mfano mama mwenye mchepuko nje anaweza akamzuia baba wa mtoto asimuone mwanaye,au mtoto akawekewa mazingira ya kutokuonana na baba yake.Wapo wababa wanaoteseka kwa kuwekewa kizuizi cha kutokuwa karibu na watoto wao.
Upo sawa kabisaHiyo iende sambamba na kuwapenda wake zetu pia
😊😊Upo sawa kabisa
Kwa mfano,kwa bahati mbaya umeoa mwanamke ana kazi nzuri na baada ya miaka 3 akakuzalia watoto 2 labda.baada ya hapo tabia ikabadilika akawa anatembea na mabosi wake na wewe ukawa unanyimwa unyumba;akakutafutia sababu ili muachane,na kweli kutokana na mateso ikabidi uondoke.....huyo mwanamke akakuwekea mazingira ya kutowaona watoto;baada ya wale watoto kukua wanakuja na msemo 'nampenda sana mama yangu kuliko baba yangu'........wewe utajisikiaje?Ni Kweli hilo lipo sana tu...lakini mara nyingi imekuwa wanaume ndiyo tunaongoza kwa kuzitelekeza familia....wapo wanawake hao wachache wenye akili finyu, wanaodanganywa na michepuko, lakini soon ile michepuko ikiondoka zake....wanawake hao hurudi kwa waume zao wakijutia makosa....bahati mbaya wwngi wao wanakuta it's too late
Hakuna mahali tulipoandika tuwadharau baba zetu...nijukumu letu kiwaheshimu kama maandiko yalivyoagiza...Kuna harufu ya ubaguzi wa kijinsia hapa, nasema hivi Mungu kaamuru "waheshimu Baba yako na Mama yako ili siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana Mungu wako" Kutoka 20:5.
Hapo watoto hawana kosa coz watakuwa wamelishwa hivyo tangu utotoni...Kwa mfano,kwa bahati mbaya umeoa mwanamke ana kazi nzuri na baada ya miaka 3 akakuzalia watoto 2 labda.baada ya hapo tabia ikabadilika akawa anatembea na mabosi wake na wewe ukawa unanyimwa unyumba;akakutafutia sababu ili muachane,na kweli kutokana na mateso ikabidi uondoke.....huyo mwanamke akakuwekea mazingira ya kutowaona watoto;baada ya wale watoto kukua wanakuja na msemo 'nampenda sana mama yangu kuliko baba yangu'........wewe utajisikiaje?
ha ha ha inategemea,wamama wengine wanakuwa wajuwaji sana ndio maana wababa wanakimbiaHapo watoto hawana kosa coz watakuwa wamelishwa hivyo tangu utotoni...
Lakini ni desturi zetu kuwa ndoa ikishavunjika, watoto wakibaki kwa mama, basi mama atawalisha sumu mbaya juu ya baba yao ili kujiweka sage side...
Watoto wakibaki kwa baba, baba atawalisha sumu kuwa mama yao ndiyo mbaya,....
Lakini ukweli bado utabaki kiwa 90% ya wanawake wanaoteseka na watoto, vyanzo ni wanaume
Wqjuwaji huwa hawakosekani ila si wengi kama wanaoamua kubeba jukumu....mara nyingi mwanamke akishazaa, akili yake inawaza watoro zaidi.....ha ha ha inategemea,wamama wengine wanakuwa wajuwaji sana ndio maana wababa wanakimbia
Sawa....lakini siku uliyokuwa unazaliwa....mama yako alikuwa anatetea uhai wa nafsi mbili....Mother huwa ni mtu wa hasira visilani kulala mika full lawama namkubali sana mshua japo na mama namkubali
Apo ndo madhara sasa ..mtoto badae anakuja kuwa mlevi wakati uo mzazi ndo anaitaji msaada wake..Ndiyo wanapewa gambe..walale...wazazi wakasake shekeli
Thanks my love
Hata mimiSio kila Baba yupo hivyo.
Binafsi nampenda Sana Baba yangu.