Mpende mkeo

Nafikiri wanaume wote humu wamekupata na watalifanyia kazi.
 
Uzi ulio bora...mwenye kusikia na askie
 
Na nyie mliokubali kula tunda kwa ushawishi wa mwanamke tuwaiteje?
Waitwe machizi, yeye ndiye alikabidhiwa na Mungu sasa kilimfanya ale haraka haraka bila kumsubili Mungu amuulize ni nini ndiyo wakitongozwa tu na mwanamke lazima aende!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…