Mpende mkeo

Ngoja nisome biblia ili nihakikishe,maana mijitu ya jf ni miongo sana
Yaani huyo kachukua vifungu kufananisha na alicho andika mie mwenyewe nilipitia hivyo vifungu [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Kila siku nasoma biblia. Ila kuna mistari imejificha saaana.

But thanks for the words. Klismasii hii lazima mtukumbushe kwa namna yoyote
Kaka shemeji sio kuwa yamejificha sema kwamba hutaki kuyafuata.
 
Sis asante nashukuru leo umeni Cc humu maana kina Shunie kutwa kuniqoute jukwaa la wakubwa.

Mungu akupe mkono mtamu mwezi huu unipikie pilau tamu tuumalize mwezi salama. Basi itikieni na (shoga) ahosti zako wote aminaa.
My kaka we tuma hela tu,pilau wala usijali.
 
Kwa mange huko ndiko washindako tena wengi wao team wema na zari midume hiyo[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mara leo dai kampa nani mimba haaa haaa
Na ukiwakuta busy kumjadili Hamisa,yaani Mungu aingilie kati kwakweli.
 
Yaani wanawake walivyo na upungufu wa akili, ingetokea Nyoka yule aliyekuwa Eden angekuwa na Uume hakika angempiga Mashine Eva.

Wajinga sana hawa viumbe.
 
Yaani wanawake walivyo na upungufu wa akili, ingetokea Nyoka yule aliyekuwa Eden angekuwa na Uume hakika angempiga Mashine Eva.

Wajinga sana hawa viumbe.
Ujinga kama walionao sasa wanaume, Mungu kawambia muwe walinzi wa wake zenu mnakuwa walinzi wa anasa na michepuko badala ya mke, kilicho mfanya Adam asiende na mkewe ni nini kama si kukwepa majukumu kama wababa wanavyokimbia familia zao[emoji238] [emoji238] [emoji238] [emoji238] tu kama mee wengine
 
Nasubiri uzi mwingine wa Umpende Mumeo.....uliojaa quotations za Biblia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…