Mpende mkeo

Mtoa post umeamua kuwaongopea wa2 na kuwapotosha...,hiyo mistari uliyoifanyia 'citation' haipo kwenye Bible!
Inavyooelekea unataka kutengeneza Bible ya kwako kama Kanye West,
acha kupotosha watu!
 
Kuna theory za kiajabu sn..

Mwanamke anapaswa 1.Kumpenda mmewe
2.Kumyenyekea mmewe
3.Kumheshimu Mmewe
Na maongozi ya miguu take mwanamke ni sheria itokayo kwa mmewe.

Wangapi wanafanya haya Leo!?
 
Na wema au mange kapost nini insta,wakitoka hapo kituo kinaamia jf na fb!![emoji134] [emoji134]
Kwa mange huko ndiko washindako tena wengi wao team wema na zari midume hiyo[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mara leo dai kampa nani mimba haaa haaa
 
Huu ujumbe ungekuwa wa yale ya kuwatendea kama yale ya heloo huu uzi ungekuwa ukurasa wa mia huko. Alafu tukisemaga hakuna mwanaume wa kumfanyia yale wanatunanga,aje ajionee sasa!!
Nakwambia ndoa ikiwaka moto mzigo kwa mke unajiuliza wewe ulikuwa wapi mpaka moto usambae upuuzi tu wanawake tunavumilia sana mwishowe tunaambiwa tuna mdomo sana ss mie hujiuliza kwanini usifanyie kazi hicho anacholalamikia mke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…