Ni huzuni😔😔Leo hii Judy amelala zimepaki gari nzuri za kila aina ndugu wanapishana kuandika
200000
400000
300000
mmoja ambae n ndugu yao kabisa na ana hela mbaya na biashara kadhaa alichanga 50000 kwenye whatsup
Sana nduguNi huzuni😔😔
Watu Wana Siri na pesa zao kaka,muhimu Kila mtu awe na pesa zake ,japo kushikana mkono kunatakiwa sema Kwa ss watu wamebadilikaa..Sijui zinakuwaga pesa za kurujuwani??
Sana RKWaafrica tuna phobia ya kuogopa na kuheshim maiti sana kuliko uhai!na hii inachangiwa na Dini zetu hizi dhaifu zinafundisha kujali na kusalia /kuswalia maiti kana kwamba inathamani kuliko uhai wa mtu!!
Huu ujinga ulipandikizwa na kumea na ngumu kuondoka huko mbeleni!
Naomba ukiwekeke DrKomasava
What you reveal you can heal
Rip the beloved one .
Kuna kitabu cha four Agreement kimeelezea kuhusu Ku love each other.
Mpendwa ; iko hivii: Mtu wakati akiwa katika Uhai na Afya yake nzuri labda anakuwa hajali anachoambiwa au kushauriwa, na pengine akiambia au kushauriwa anatoa maneno ya kashfa na kejeli. Sasa kama ikitokea Afya yake imetetereka na ikawa imetetereka katika yale yale waliyokuwa wanamshauri; basi wale watu waliokuwa wanatoa ushauri na maonyo kwake hukaa pembeni na kuwa ni miongoni mwa watazamaji. i.e. Ni kama vile wanasema "ngoja hapo sasa tuione jeuri yake"Nimeona tukumbushane hili
najua n tatizo la kila ukoo hivi karibuni pale mtu anapopata shida tunashindwa kusaidiana
anapokufa ama kuteseka ndio tunaanza kukimbizana
Leo nilikuwa kwenye msiba mmoja tegeta rip dada..huyu dada aliumwa kwa mda lakini ndugu hawakuwa wanamsaidia waka kumjali hata kidogo
hata palle ilipoanzishwa grp la wana ndugu jama namarafiki mwitikio ulikuwa mdogo sana sana
Leo hii Judy amelala zimepaki gari nzuri za kila aina ndugu wanapishana kuandika
200000
400000
300000
mmoja ambae n ndugu yao kabisa na ana hela mbaya na biashara kadhaa alichanga 50000 kwenye whatsup
Leo katangaza atanunua jeneza atalioia special hire mbili kwenda moshi na kurudi..na kaburi atajenga yeye
nawaza wakati anaumwa hizo hela wangemsaidia si zingemwongezea hata siku kadhaa..
NARUDIA TENA TUPENDANE TUKIWA HAI MUNGU NDIE ANAJUA UHAI WETU
BWANA YESU ASIFIWE
AASSALHAMALLEIKHUM
Kama Marehemu angeshuhudi idadi ya watu walio kuja msibani kwake kipindi anaumwa angepona bila dawaNimeona tukumbushane hili