Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
- Thread starter
-
- #21
Ndo habari ya mjini fainali chuo kikuuNimependa heading asee, "... kuwa watakutana Chuoni'
Serious kote huku chini mtakuwa separate kayumba na international flani but huko juu kama ni hapa hapa bongo 'tunakutana chuoni'
AlaAcha uongo! vyuho vikuu hudahili kwa vigezo, kuna pointi lazima uzifikie ndo update admission.
hao vilaza walifikaje chuo?? Bila kuwa na vigezo??
Labda vyuo vyenu vya Kata,
next time usiandike habari za vijiweni kwenye majukwaa ya GT
Vyuo gani hivyo mbona wakati wetu havikuwepo?Hahah wewe acha kupanic kuna watu wana A, s tupu kwenye vyeti ila kwenye real life hawajui kitu, hana uwezo wa kutetea hata hizo A zake, naona una mtazamo finyu kuwa akili ni kuwa na division one pole
Sent using Jamii Forums mobile app
Binti inaelekea unapata makarai, unasoma chuo gani?? isije kuwa zoom pale magomeni mapipa.Alafu ni kukumbushe tu kuna watu darasani hawapatagi A SOMO lolote, yani hata kwenye kumi bora uwezi mkuta ila njoo kwenye hoja na namna anavyoelewa mambo kiupana utashanga na A Zako, so futa mtazo ulionao kabisaAla
Sent using Jamii Forums mobile app
THINGS FALL APART!!!! Chunua Achebe.Kwani mwanao kwenda form one ni dharura?
Ni jambo ambalo ulilijua miaka nenda rudi.
Kama uli plan kwamba atasoma shule za kuendelea kupanda school bus wee endelea na mpango wako.
Kama uli panga kwamba atasoma shule za serikali weee mpeleke huko
Wanapewa sana mitihani mashuleni ....Acha uongo! vyuho vikuu hudahili kwa vigezo, kuna pointi lazima uzifikie ndo update admission.
hao vilaza walifikaje chuo?? Bila kuwa na vigezo??
Labda vyuo vyenu vya Kata,
next time usiandike habari za vijiweni kwenye majukwaa ya GT
Daaaah ... We jamaaa nimecheka kama mazuri. Mimi binafsi nimesoma nao chuni na walidahiliwa wengiiii tu kayumba tulikuwa wachache na Economics mostly degree course yenye wanafunzi wachache sisi tulikuwa 72 asilimia kubwa shule za kishua ... Ila sasa humo darasani kwa kweli wengi betri haikai na chaji yaaani weupeee kchwani mpaka unashangaaa huyu alipataje division 1Binti inaelekea unapata makarai, unasoma chuo gani?? isije kuwa zoom pale magomeni mapipa.
Vyuo vikuu vina heshima yake, ukipata admission automatically uko vizuri
Dogo kumbe mnaongelea masomo ya kike, hivi MTU alipata Form VI phcs.A Math.A na Chem.A kwa syllabus yetu akadahiliwa chuo kikuu atakuwaje kilaza?? Je Practicals alizifanyaje?? Achana na theories mtasema aliiba mtihaniDaaaah ... We jamaaa nimecheka kama mazuri. Mimi binafsi nimesoma nao chuni na walidahiliwa wengiiii tu kayumba tulikuwa wachache na Economics mostly degree course yenye wanafunzi wachache sisi tulikuwa 72 asilimia kubwa shule za kishua ... Ila sasa humo darasani kwa kweli wengi betri haikai na chaji yaaani weupeee kchwani mpaka unashangaaa huyu alipataje division 1
Bro bora umenisaidia kumwambia, mtu anatoka na one ya st. schools anakuja chuo anakutana na mtu katoka labda lets says umbwe na three yake ya mwisho mwisho na amwambii kitu.Daaaah ... We jamaaa nimecheka kama mazuri. Mimi binafsi nimesoma nao chuni na walidahiliwa wengiiii tu kayumba tulikuwa wachache na Economics mostly degree course yenye wanafunzi wachache sisi tulikuwa 72 asilimia kubwa shule za kishua ... Ila sasa humo darasani kwa kweli wengi betri haikai na chaji yaaani weupeee kchwani mpaka unashangaaa huyu alipataje division 1
Nina mashaka na weweAcha uongo! vyuho vikuu hudahili kwa vigezo, kuna pointi lazima uzifikie ndo update admission.
hao vilaza walifikaje chuo?? Bila kuwa na vigezo??
Labda vyuo vyenu vya Kata,
next time usiandike habari za vijiweni kwenye majukwaa ya GT
Tena na tena nina mashaka makubwa na weweBinti inaelekea unapata makarai, unasoma chuo gani?? isije kuwa zoom pale magomeni mapipa.
Vyuo vikuu vina heshima yake, ukipata admission automatically uko vizuri
Ni bora kuliko kurudi nyumbani saa sita, halafu house girl anambeba kwenda kwenye mishe zake au anamfungia ndani. Ni bora awe shule akirudi anikute au tupishane tu kidogo.Huyu mtoto mdogo sijui anasoma nn, yaan elimu inaanza kuwapotezea mda watoto wakiwa bado wadogo. Kabla ya wizara ila wazazi pia tubadilike mwngne kwavile anashnda kazin anaona n bora mtoto kushinda kutwa nzima shuleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Magomeni tena, nimesoma pale panapoitwa "" centre of excellence "" wengi wanaodahiliwa pale ni division zilizoshiba tu, but katika hizo hizo kuna wengi hawaionagi hata semista ya pili dats to say ukiingia na one yako ya saba sijui ngapi u need to prove them kwamba ilikuwa yako.Binti inaelekea unapata makarai, unasoma chuo gani?? isije kuwa zoom pale magomeni mapipa.
Vyuo vikuu vina heshima yake, ukipata admission automatically uko vizuri
Katoto kadogo, economics ni masomo ya kike? Pmbaf sana wewe binti.Dogo kumbe mnaongelea masomo ya kike, hivi MTU alipata Form VI phcs.A Math.A na Chem.A kwa syllabus yetu akadahiliwa chuo kikuu atakuwaje kilaza?? Je Practicals alizifanyaje?? Achana na theories mtasema aliiba mtihani
Unasomea nini? Mbembwe kibao usijekuta,B.A( history)Magomeni tena, nimesoma pale panapoitwa "" centre of excellence "" wengi wanaodahiliwa pale ni division zilizoshiba tu, but katika hizo hizo kuna wengi hawaionagi hata semista ya pili dats to say ukiingia na one yako ya saba sijui ngapi u need to prove them kwamba ilikuwa yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweliHabari zenu wadau, kwa wale ambao hamjui mnapataje ada hadi sasa hivi poleni sana
Usimpeleke mtoto shule yenye ada kubwaaa ambayo unaona kabisa haiendani na kipato chako eti kisa tu watoto wa staff wenzio wote wako shule hizo.
Au majirani watakuchukuliaje, kila mtu anakujua wewe ni msomi mwenye kazi yake sehemu flani so unaona ukimpeleka st. Kayumba unajishushia hadhi,
Pole sana maana unaishi kuridhisha watu, maamuzi na uhalisia wa kipato chako unakijua wewe, una limkopo kama lote benki, wakati huo huo loan board nao wanakukata, kodi ya nyumba, mara gari inataka service na mafuta bila kuangalia ndugu wanakutegemea, acha kuchosha akili hebu mpeleke tu shule ya kawaida hakikisha unamfatilia vizuri anapata muda wa kujisomea vizuri mbona sisi tulipita huko huko na bado tukapass?
#Asubuhi njema
Sent using Jamii Forums mobile app