Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
Kweli kabisa nimekutana na watu chuo kikuu wanajua tu kingereza kizuri ila kichwani empty set kabisa, ila kuna watoto wa maskini wamesoma kata wapo very bright, dah unajiuliza angepata nafasi ya kusoma huko sijui angekuwajeKuna wengine wanasomeshwa shule za gharama sana ila wanatoka vichwa maji
Mimi nitajitahidi apate elimu bora itakayomjenga kuelewa maisha na dunia na sio elimu ya kukariri ili awe wa kwanza darasani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii historia ni ya kweli, lakini bado kuna shule chache za serikali zinajaribu kidogo,Tatizo kuna ombwe kubwa kati ya hizi shule za kanumba na hizo shule za kishua na hilo ombwe linazidi kukua kila siku, wakati wa zamani kidogo 80s mpaka early 90s kwenda shule za private mara nyingi iliashiria kuwa umefeli na umeshindwa kuingia katika shule bora za serikali, tatizo hapa kati elimu iliingiliwa na siasa na kupelekea shule nyingi za serikali kutoa bora elimu na si elimu bora.
Tatizo lingine linalokuja, kwa taratibu za maisha hasa wale wanaokaa mjini, ni ngumu sana kumfuatilia mtoto kiundani masomo yake, hasa pale wazazi wote wanapokuwa wanafanya kazi maofisini, unaondoka kabla watoto hawajaamka unarudi wakati wamelala. Hapo ndio unaweza kukuta mtoto anapotea kabisa, cha msingi ni kujipiga tu mpaka uwezo wako unapoishia basi na kumpeleka shule bora.
Una hisi kuna madhara ulipata compare na mwenzako aliyekuwa st. MarysHahah...kupanga ni kuchagua,.
Nimekumbuka nilivyokuwa nabeba ufagio na kidumu cha maji wakati wa kwenda shule,bila kusahau kuwahi namba...hahah daah!!!! St kayumba[emoji4]
Anaetoka na div 0 shule ya private, siyo sawa kiakili na yule anaetoka na div 3 shule ya serikali...Kuna wengine wanasomeshwa shule za gharama sana ila wanatoka vichwa maji
Mimi nitajitahidi apate elimu bora itakayomjenga kuelewa maisha na dunia na sio elimu ya kukariri ili awe wa kwanza darasani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sikupata madhara yoyote,tena nilifaulu kuanzia darasa la saba hadi kidato cha nne na kuchaguliwa shule viwango za serikali,.sio zile za kubahatisha...hahahahUna hisi kuna madhara ulipata compare na mwenzako aliyekuwa st. Marys
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mtoto mdogo sijui anasoma nn, yaan elimu inaanza kuwapotezea mda watoto wakiwa bado wadogo. Kabla ya wizara ila wazazi pia tubadilike mwngne kwavile anashnda kazin anaona n bora mtoto kushinda kutwa nzima shuleniWizara ya Elimu HAMTIMIZI majukumu yenu. ya kuzisimamia hizi shule za Binafsi. na suala hili litatugharimu baadae. Hivi kweli wizara ya Elimu mmnasemaje suala la mtoto wa Chekechea kuingia darasani SAA 1.30 asubuhi afu atoke SAA 10 JIONI ?? tunapojidanganya ni kudhani Elimu ni kusoma makaratasi tu. ninapomtuma mtoto sehemu au kazi ni Elimu, anapocheza ni Eimu, anapoona mambo pale mtaani ni Elimu. mimi nine elimu kubwa tu ,Mmeacha kuzisimamia shule hizi za binafsi sasa ni HOLELA TU !
wao wanaangalia kwamba ili tuhalalishe ADA KUBWA mtoto akae muda mrefu shuleni , hilo watu wa wizara ya Elimu hamjaligundua. SASA HUYU MTOTO ANAYESHINDA SHULENI KUANZIA SAA MOJA ASUBUHI MPAKA SAA 10 JIONI TOKA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 4, SIKU AKIKOSA AJIRA ATAJITEGEMEA KWELI ? wizara ya Elimu embu Timizeni Wajibu wenu !
Acha uongo! vyuho vikuu hudahili kwa vigezo, kuna pointi lazima uzifikie ndo update admission.Kweli kabisa nimekutana na watu chuo kikuu wanajua tu kingereza kizuri ila kichwani empty set kabisa, ila kuna watoto wa maskini wamesoma kata wapo very bright, dah unajiuliza angepata nafasi ya kusoma huko sijui angekuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah wewe acha kupanic kuna watu wana A, s tupu kwenye vyeti ila kwenye real life hawajui kitu, hana uwezo wa kutetea hata hizo A zake, naona una mtazamo finyu kuwa akili ni kuwa na division one poleAcha uongo! vyuho vikuu hudahili kwa vigezo, kuna pointi lazima uzifikie ndo update admission.
hao vilaza walifikaje chuo?? Bila kuwa na vigezo??
Labda vyuo vyenu vya Kata,
next time usiandike habari za vijiweni kwenye majukwaa ya GT
Pamoja sana mother confessor na mimi nilikinywea kikombe hiko hiko bila kuona madharaWala sikupata madhara yoyote,tena nilifaulu kuanzia darasa la saba hadi kidato cha nne na kuchaguliwa shule viwango za serikali,.sio zile za kubahatisha...hahahah