Mpe jina huyu

Radiation

Platinum Member
Joined
May 28, 2013
Posts
333
Reaction score
305
jamaa mmoja alienda kwa mama muuza gongo(pombe)
alivyofika aliagiza chupa tatu za pombe hio akazibugia zote na kuondoka
kesho yake tena alirudi akaagiza chupa tatu tena akazifakamia harakaharaka kisha akaondoka
siku nyingne alifka na kuagza tena yule mama muuzaji akamuuliza kwa nn kila siku unakunywa chupa tatu
Jamaa; nnao kaka zangu wawili mmoja yupo Uingereza mwingine Marekan
Mama muuzaji; kwa hio?
Jamaa; tumeahidiana kukumbukana kila tukinywa pombe
siku iliyofuata jamaa alifika na kuagiza chupa mbili tu
mama muuzaji alitikisa kichwa chake kwa huzuni kisha akasema
Mama muuzaji; pole sana nahisi kaka yako mmoja amekufa
Jamaa; hapana bado nnao kaka wawili
Muuzaji; sasa mbona umeagiza chupa mbili?
Jamaa; leo mke wangu kanipeleka kanisan nikaombewa kwa hio nimeamua kuacha kunywa POMBE..


mpe jina huyu jamaa kama umeelewa
 
Huyu Jamaa ni UKAWA (CHADEMA)
 
huyu atakua ni taahira wa mwaka a.k.a CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…