Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,002
- 7,327
🤔🤔🤔🤔Mchezaji wa Simba Elie Mpanzu hatimae ametua kambini huko misri baada ya kelele nyingi sasa ni rasmi kaungana na wenzake katika maandalizi ya msimu mpya
Wale vyura wa Jangwani Mpo wapi, Mpanzu huyu hapaView attachment 3432363
haya mfanye mazoezi sasa sio ligi ikianza tuanze kusikia milio ya wasaliti ndani ya timu,mara mangungu out,ooh sowah yule yanga damu hatutaki hatutaki hatutaki...Mchezaji wa Simba Elie Mpanzu hatimae ametua kambini huko misri baada ya kelele nyingi sasa ni rasmi kaungana na wenzake katika maandalizi ya msimu mpya
Wale vyura wa Jangwani Mpo wapi, Mpanzu huyu hapaView attachment 3432363
hadi chama mlisema ".. Oh chama yupo slow kama konokono hafit kucheza yanga...". Zimbwe mzee mwishowe mumemchukuwa.Hivi kuna mashabiki wa simba walikuwa wanaamini Mpanzu anawindwa na Yanga! Mbona kwa haraka haraka mfumo wa uchezaji wa Yanga na aina ya uchezaji wa Mpanzu, haviendani!
Au ni mimi peke yangu ndiyo nilikuwa siamini kuhusu hizi taarifa!!
Hivi alishawahi kucheza dhidi ya Yanga?😄😄HIvi huyo mpanzu mbona mnampaisha sana,uwezo mbona wa kawaida sana,wabongo sijui tukoje yaani.. utadhania bonge la player yaani
Alipiga shot off target moja akaenda kupumzika...Hivi alishawahi kucheza dhidi ya Yanga?😄😄
Mkaulize kasemaji kenu ka utopolo maama ndo kalianzisha hii drama kwa kushiirikiana na ponjolo la crown fmHIvi huyo mpanzu mbona mnampaisha sana,uwezo mbona wa kawaida sana,wabongo sijui tukoje yaani.. utadhania bonge la player yaani
Hili awali ungewauliza Utopolo wenzioHivi kuna mashabiki wa simba walikuwa wanaamini Mpanzu anawindwa na Yanga! Mbona kwa haraka haraka mfumo wa uchezaji wa Yanga na aina ya uchezaji wa Mpanzu, haviendani!
Au ni mimi peke yangu ndiyo nilikuwa siamini kuhusu hizi taarifa!!
Kamwe alisema aitwe Elii, na kuahidi 10m.Hivi kuna mashabiki wa simba walikuwa wanaamini Mpanzu anawindwa na Yanga! Mbona kwa haraka haraka mfumo wa uchezaji wa Yanga na aina ya uchezaji wa Mpanzu, haviendani!
Au ni mimi peke yangu ndiyo nilikuwa siamini kuhusu hizi taarifa!!
Kuna muujiza hapaKumetokea Nini Apostle
Baada ya tajiri kuongezea mshahara.... heavyweight