JOMI Senior Member Joined Oct 9, 2012 Posts 144 Reaction score 118 Dec 10, 2015 #1 Vichaa walipanga kutoroka, wakakubaliana wamnyonge mlinzi watoroke! Walipofika getini wakakuta geti lipo wazi na hakuna mlinzi, wakasema "Turudi mipango yote imevurugika"...
Vichaa walipanga kutoroka, wakakubaliana wamnyonge mlinzi watoroke! Walipofika getini wakakuta geti lipo wazi na hakuna mlinzi, wakasema "Turudi mipango yote imevurugika"...