Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
SUALA la uwazi hasa katika shughuli mbalimbali za serikali ndilo linalopigiwa kelele karibu duniani kote hasa linapokuja suala la rasilimali za umma.
Usiri ni jambo ambalo limekuwa likilalamikiwa katika mataifa mengi yanayoendelea, hususan katika mikataba yenye maslahi ya umma.
Kutokana na kelele hizo ndiyo maana mataifa mengi yalikubaliana kuanzisha Mpango wa Ubia wa Uwazi Serikalini (Open Government Programe - OGP) ambao ni jitihada zinazolenga kuongeza ufanisi wa serikali kutoa taarifa kwa muda kwa wananchi.
Mpango huou ulioanzishwa mwaka 2011, unatoa nafasi ya kimataifa kwa wadau wa ndani ya nchi ambao wanataka kuona serikali zao zinakuwa wazi zaidi, zinawajibika na kusikiliza wananchi.
Soma zaidi hapa = > Mpango wa Ubia wa Uwazi ni muhimu katika sekta ya mafuta na gesi Tanzania | Fikra Pevu