Mpango wa makusudi wa kupunguza idadi ya watu

Jackwillpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
2,539
Reaction score
3,860
UKIMWI, EBOLA VIMETENGENEZWA MAKUSUDI KUPUNGUZA IDADI YA WATU

Wakati Dunia nzima ikizidi kujawa na hofu inayotokana na milipuko ya magonjwa, machafuko ya kivita, maandamano ya watu kudai mabadiliko, kuporomoka kwa maadili; majaribio ya chanjo ya ugonjwa wa Ebola, Corona ,n.k

Majaribio hayo ya chanjo yamekuwa yanafanyika baada ya lengo lao kufanya kazi. Rejea kipindi Cha Corona baada ya mamia kuwa wamekufa.

Hii inamaanisha kwamba tatizo linapewa muda mrefu zaidi ili kuendeleza kukuza hofu kwa watu na kuwaandaa kwa ajili ya kukimbilia chanjo kwa haraka!

Ni kanuni gani wanayoitumia? ni kanuni ya kwanza inayosema

‘Thesis x Antithesis = Synthesis’.

Wao (freemasons) wanasema:

"Manufacture the crisis, then panic the people, and then step in with the solution you wanted in the first place"

wakimaanisha

“Tengeneza mgogoro, kisha wafanye watu wapate hofu, na kisha chukua hatua ya suluhisho ambalo ulilitaka kabla ya kutengeneza mgogoro’.

Hapa mgogoro au ‘Thesis’ ni Ebola, Corona n.k na kutokana na mgogoro huu watu wanapata ‘hofu’ ambapo suluhisho linapotolewa, yaani chanjo au ‘Antithesi’, watu wengi watakimbilia chanjo hiyo.

Nini matokeo yake?

Ni ‘Synthesis’ yaani kutekelezwa kwa ajenda za freemasons ambapo isingekuwa rahisi kutekelezwa kama pasingekuwepo mgogoro.

Ni suluhisho gani?

Kupunguza idadi ya watu duniani! Kutokana na ukweli kwamba makao makuu ya dini ya freemasons yapo nchini Marekani, matatizo (crises) hutengengezwa Marekani ikiwa ni pamoja na suluhisho (solution) la matatizo hayo.

Karibu kila tatizo kubwa linaloukumba ulimwengu wote, liwe la kiafya, kisiasa, kiuchumi au kidini, chanzo chake ni Marekani.

Matatizo haya yanatengenezwa kwa lengo la kuonekana hitaji la kuanzishwa kwa serikali moja ya dunia inayodaiwa kuwa suluhisho la majanga yanayoukumba ulimwengu.

Ili kukuza matatizo, mpango unaoitwa ‘PEACE plan’ yaani mpango wa amani’ ulianzishwa.

Kumbuka kwamba kila wakati mpango wowote unapoanzishwa na wafuasi wa dini ya freemasons, huweka maana mbili, moja iliyowazi, yaani ‘Exoteric meaning’ hii huwezi kujua bila kuchunguza ndani zaidi na maana nyingine ni ‘Esoteric meaning’ yaani maana iliyofichika.

Kwa maana iliyowazi, PEACE Plan ni mpango mzuri wenye lengo la kuleta amani na mshikamano duniani, kuleta Aman kwenye maswala Kama ya Vita ya Urusi na Ukraine .

Lakini katika maana iliyofichika, kila herufi kwenye neno PEACE ilikuwa na maana yake.

Herufi ‘P’ inasimamia lengo la ‘Plant Churches’ and Promote reconciliation’ yaani kupandikiza makanisa na kuleta mapatano.

Hapa tunaona kuibuka kwa makanisa mengi katika kila kona ya dunia ambapo wengi wa waanzilishi wa makanisa hayo hupata fedha kutoka kwa wafadhili ili kutekeleza, siyo matakwa ya Mungu, bali matakwa ya wafadhili.

Herufi ‘E’ ni ‘Equip servant leaders’(yaani kuweka viongozi katika serikali ambao watakuwa siyo watumishi wa wananchi bali watumishi wa wafadhili. (Niseme kitu hapa ukionekana unapinga agenda zao Kama Chanjo, n.k Basi Safari yako inawadia),Kwasisi wachunguzi wa mambo ya Kiroho tunajua Marehemu JPM asingetoboa pale alipoanzisha kampeni zake za kupinga Uzazi wa mpango,Chanjo ,ushoga, n.k

Herufi "A" Assist the poor’ (kuwasaidia maskini) kama ambavyo tunaona misaada mbalimbali ikitolewa na mashirika ya kimataifa yenye lengo maalumu ndani yake;

Herufi ‘C’ inasimamia Care for the sick (yaani kuwajali wagonjwa ili kupunguza vifo vya watoto, kupambana na Ebola, Corona,surua, ukimwi nk) na hapa tuliona kipindi kile Obama alichukua muda mrefu kurekebisha sheria ya huduma za afya ‘health reform’ kama ilivyojulikana kwa jina la Obamacare kule Marekani, lakini lengo halikuwa kusaidia wagonjwa bali kusaidia kukuza ugonjwa;

Herufi ‘E’ Educate the next generation (kuwawezesha wanawake na usawa wa jinsia, elimu ya msingi kwa wote, na utunzaji wa mazingira) ,hapa ndipo unakutana na Nguvu kubwa ya kumpandisha Mwanamke awe sawa na mwanaume, unakutana na agenda za Ushoga. Harakati za Ushoga huwa zinaenda sambamba na harakati za kumfanya mwanamke eti awe sawa au mtawala. Leo tunaona Elon Musk anatuletea Midoli ya mbadala wa mwanamke, lengo Ni kupunguza idadi ya watu.

Unapoletewa Ushoga(LGBTQ) , Artificial intelligence, hamtaweza kuzaliana.

Neno PEACE linamaanisha AMANI na hakuna mtu asiyependa amani lakini neno hilo limetumiwa kama kiini macho cha kuwafanya watu wakubali mpango wa amani bila kujua lengo la mpango huo.

Biblia inatuambia kwamba

“Wakati wasemapo, Kuna amani (PEACE) na salama, ndipo uharibifu uwajiapo kwa ghafla…”
1 Wathes. 5:3.

Obama alimteua Ron Klain kuongoza mapambano dhidi ya Ebola duniani kipindi kile. Hata hivyo Ron Klain ni mtu ambaye alikuwa akiona ongezeko la watu duniani kuwa ni tatizo kubwa kwa serikali za dunia.

Yeye aliwahi kusema:

“I think the top leadership challenge issue in our world today is how to deal with the continuing, growing population in the world and all the resource demands it places on the world and burgeoning populations in Africa and Asia that lack the resources to have a healthy, happy life,”

Akimaanisha kwamba ‘Nadhani changamoto kubwa ya uongozi katika ulimwengu wetu leo ni jinsi ya kutatua ongezeko la watu ulimwenguni pamoja na mahitaji yaliyopo ulimwenguni na ongezeko la watu huko Afrika na Asia linalosababisha upungufu wa mahitaji yanayotakiwa kwa afya nzuri na maisha yenye furaha’.

Kwa nini Obama alimteua Ron Klain kuongoza mapambano dhidi ya Ebola kipindi kile?

Ron Klain hakuchaguliwa kupambana na ugonjwa wa Ebola bali kupambana na ongezeko la watu ulimwenguni ambapo moja ya silaha za kufanikisha kupunguza idadi ya watu ni kutumia Ebola.

Hii ime apply kwa Corona ,n.k

Hebu tujikumbushe kile walicholenga Illuminati katika ajenda zao juu ya ongezeko la watu duniani:

"Take control of the world ... to reduce ... the world to a safe level by a process of benevolent slavery and genocide ... The only alternative left to the world's ruling elite was to increase the death rate ... Dr. Aurelio Peccei of the Club of Rome ... advocated that a plague be introduced that would have the same effect as the Black Death of history." (Bill Cooper, “Behold a Pale Horse”, p. 49, 167).

Bill Cooper mwandishi wa kitabu cha Behold a Pale Horse anasema kwamba idadi ya watu duniani inapaswa kuwa sawa na uwiano wa kile kinachozalishwa. Njia pekee ya kupunguza idadi ya watu ni kuongeza kasi ya vifo ambapo Dk. Aurelio Poccei wa kundi la Club of Rome aliagiza kwamba ugonjwa hatari utengenezwe ambao utakuwa na madhara sawa na janga lililojulikana kama ‘Black Death’ katika historia.

Hivyo basi njia pekee ni kuongeza kasi ya vifo kuliko kasi ya kuzaliwa, (increase death rate vs birth rate). Kule China sheria inawataka wanandoa kuzaa si zaidi ya watoto wawili ili kupambana na ongezeko la watu. Hata hivyo inadaiwa kwamba kuna ongezeko kubwa la vifo ukilinganisha na ongezeko la watu kumaanisha kwamba idadi ya watu inazidi kupungua!

Sasa tujiulize swali muhimu: Je, chanjo imewahi kutumiwa kama silaha ya kupunguza idadi ya watu? Jibu la haraka ni ndiyo!

Dk. Horowitz anazungumzia jambo hili katika kitabu chake alichokiita

“Emerging Viruses: AIDS and Ebola.” Dk. Horowitz anatumia karibu kurasa 600 kuthibitisha kwamba Marekani kwa makusudi ilitengeneza virus vya AIDS kama silaha kisha wakaanza kuwasambaza virus hao barani Afrika kupitia chanjo zilizotolewa bure katika mpango unaojulikana kama ‘United Nations Vaccination campaign’ yaani ‘kampeni ya chanjo ya umoja wa mataifa’.

Dk. Horowitz anasema yeye akiwa ni daktari mzoefu ameandika kitabu hicho akiwa anafahamu ukweli aliouandika.

Hebu tumnukuu akiandika kwenye kitabu chake “Emerging Viruses: AIDS and Ebola” na hapa anasema: “Suala la kwanza lililoelezewa na Strecker ni kwamba AIDS haukuwepo Afrika kabla ya mwaka 1975, na kama ugonjwa huo ungetokana na kung’atwa na sokwe miaka ya 1940 kama inavyoelezewa, ugonjwa huo ungeonekana miaka ya 1960 na siyo miaka ya 1970. Kisha Dk. Horowitz anasema: "The World Health Organization started to inject AIDS-laced smallpox vaccine into over 100 million Africans (population reduction) in 1977.

And over 2000 young white male homosexuals (Trojan horse) in 1978 with the hepatitis B vaccine through the Centers For Disease Control/New York Blood Center." [Horowitz, p. 4-5],

Akimaanisha kwamba ‘Shirika la afya ulimwenguni lilianza kuingiza wadudu wa AIDS kupitia chanjo ya surua kwa waafirika wapatao milioni 100 (kwa lengo la kupunguza idadi ya watu) mwaka 1977. Zaidi ya vijana wavulana 2000 wa kizungu ambao walikuwa mashoga walipewa chanjo ya hepatitis B mwaka 1978 kupitia kitengo cha kuzuia magonjwa huko New York” [rejea Horowitz: “Emerging Viruses: AIDS and Ebola” p. 4-5].

Mei 11, 1987, gazeti la London Times liliandika makala iliyoitwa “Smallpox Vaccine ‘Triggered AIDS Virus’,” iliyoandikwa na Pearce Wright aliyekuwa mhariri wa gazeti hilo ambaye aliihusisha chanjo hiyo na mlipuko wa ugonjwa wa AIDS huko Afrika ya kati kwa sababu ndilo eneo lililokusudiwa kuanzisha ugonjwa wa AIDS na likawa eneo lililoathirika zaidi na ugonjwa huo kwa kipindi hicho.

Hapa madaktari wetu wanapaswa kutusaidia kufanya uchunguzi wa kila chanjo inayoingizwa nchini kama ni salama au italeta madhara siku za usoni.

Madaktari mpo?
Mwinjilist mmoja anayehubiri kwa njia ya Redio, bw. R.G. Stair, alipokea barua kutoka kwa mwanasayansi ya Bailojia (ambaye hakutaka kutaja jina lake maana alituma barua hiyo kwa siri ili mwinjilisti huyo awaambie watu).

Mwandishi wa barua hiyo alisema anafanya kazi kwenye maabara pamoja na Dr. Robert C. Gallo ambaye ni mtaalamu wa bailojia ya ‘molecules’ aliyehusika katika utafiti wa asili ya virus vya AIDS. Mwandishi alisema kwamba Dr. Gallo ndiye aliyetengeneza virus vya AIDS na kuviingiza kwenye chanjo kwa nia ya kuambukiza watu. Mwandishi huyo alisema kwamba aligundua hilo alipotembelea ofisi ya Dr. Gallo na kuona barua nyingi zilizoandikwa ‘New World Order’.

Kwa nini tunapata habari hizi zilizokusudiwa kuwa siri?

Ndiyo! Yesu alisema:

“Hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa ambalo halitajulikana.” [Rejea Matthayo 10:26,27];

Na huu ni utimilifu wa maneno hayo ya Yesu, ili kwamba tupate kujua siri za freemasons zilizokusudiwa kutuangamiza.

Mwaka 1975, Dr. Gallo pamoja na wanasayansi wengine wanane (wakiwa wanafanya kazi kwenye kituo cha utafiti wa ugonjwa wa kansa – Bethesda Cancer Research Center – huko Maryland Marekani, walifanya utafiti wa kuvifanya virus vya AIDS viweze kuambukizwa kirahisi zaidi kwa binadamu ambapo badala ya chanjo waliwezesha AIDS kuambukizwa kwa njia ya ngono kwa sababu watu wengi wanaendekeza tabia hiyo kinyume na sheria ya Mungu. Je ni wewe? Tafakari!

Mwaka huo huo, baada ya kituo cha kijeshi cha afya kiitwacho ‘Fort Detrick’ kufungwa, kilianzishwa kituo kipya kilichopewa jina la ‘Fredrick Cancer Research Facility’ kikiwa chini ya kituo cha ‘Bathesda Cancer Research Center’, ambapo Dr. Gallo alikuwa ndiye mkurugenzi wa kituo hicho. Utafiti uliofanyika mwezi Machi mwaka 1976 ulionyesha kwamba kulikuwa na kitengo cha serikali kilichokuwa kinazalisha virus vya AIDS, na kitengo hicho kilisimamiwa na Dr. Gallo pamoja na Dr. Novakhatskiy wa kituo cha ‘Ivanosku Institute’ nchini Urusi.

Baadaye Dr. Gallo alipatikana na hatia katika taaluma yake lakini Rais Bill Clinton alitoa msamaha, na hivyo Dr. Gallo akawa huru.

Akijibu swali kwamba virus vya AIDS vilitengenezwa kama silaha ya kibaolojia, mwezi February, 1987, Kanali wa jeshi la Marekani David Huxsoll alisema:

“Studies at army laboratories have shown that the AIDS virus would be an extremely poor biological warfare agent.”

Kwamba “utafiti katika maabara za kijeshi umeonyesha kwamba virus vya AIDS ni silaha hafifu ya kibaolojia vitani.”

Sasa nini kilihitajika? Bila shaka ni kutengeneza silaha nyingine ya kibaolojia ambapo Ebola ilionekana kuwa silaha yenye nguvu zaidi kwa sababu Ebola inaambukiza kirahisi zaidi kuliko AIDS!, hapa unakuja kukutana Hadi na Corona , na tutarajie zaidi na zaidi.

Hebu tutulie kidogo hapa na tutafakari kile tulichokiona hadi sasa. Kwanza wanasema Marekani iliingiza mwilini AIDS kwa njia ya ‘chanjo zilizotolewa bure mwaka 1977!’ Hii inamaanisha kwamba baadhi ya chanjo za ugonjwa wa ‘small pox’ zimekuwa zikitumika kupunguza idadi ya watu wasio na hatia!

William Cooper anasema:

“Whatever causes AIDS was in the Vaccine.” [rejea ‘Behold a Pale Horse’ p. 168].

Hapo anamaanisha kwamba ‘chochote kilichosababisha ugonjwa wa AIDS kilikuwa ndani ya chanjo’! Je, umepata ufunuo huo? Tafakari!

Nakushauri ndugu mnaopenda kusoma vitabu ,tafuteni hivi vitabu viwili “Emerging Viruses: AIDS and Ebola” cha Dk. Horowitz na “Behold a Pale Horse” cha William Cooper.

Tuiangalie ajenda ya 36 ya Freemason, Kwanza nigusie kidogo ajenda ya 35 inayohusu kuanzishwa kwa serikali ya dunia katika vipengele vitano.

Vipengele hivyo ni ‘A king’ yaani Mfalme, ambapo kutakuwepo na mfalme mmoja atakayetawala dunia nzima; ‘A kingdom’ yaani Ufalme ambao utakuwa umeugawa ulimwengu katika majimbo 10; ‘A seat of Kingdom’ yaani kiti cha ufalme kitakachowekwa mahali patakapokuwa makao makuu au ikulu ya serikali ya dunia; ‘A council’ yaani baraza ambapo tunaona muundo wa baraza hili ukiwa katika umbo la pembe tatu huku kukiwa na vitengo vingi vinavyofanya kazi za baraza kuu la ‘Supreme council of 13’ na mwisho utaona kuna kipengele cha ‘constitution’ yaani ‘katiba’ ya serikali ya ulimwengu. Kwa ufupi hiyo ndiyo ajenda ya 35.

Makosa – makosa ndani ya mioyo ya watu – huchafua hisia za watu.

Kweli – kweli ndani ya mioyo ya watu – hutakasa nafsi.

TAFAKARI

Mungu Ni mwema
1341294161.jpg
 
Mungu atuhurumie

JPM alipowakatalia agenda zao za kishetani , Cha Moto alikiona
 
Kwasasa wanahimiza Ushoga ili watu wasizaliane agenda zao zitimie
 
Mungu aliyajua haya billions and trillions of years ago.Kama yeye ameruhusu yatokee kwanini yaniumize akili?
 
Injinia mzima ahangaike na ukatoroka!!!!!!!

TUNAHANGAIKA NA KWELI.
WATU WAIJUIE KWELI.

UJUMBE WA MALAIKA WA TATU.
 
Mungu Ni mwemaView attachment 2629514
Kama ni kweli mbona miaka yote haujafanimiwa dunia population inazidi kuongezeka na inakadiliwa kufikia 2030 itakuwa imeomgezeka zaidi.
 
Ukatoliki unaingiaje kwenye freemason?
Shutuma za Eltona John dhidi ya Vatican.

Ameandika hivi katika ukurasa wake wa Tweeter,

Inakuwaje Vatican haiwezi kubariki ndoa za wapenzi wa jinsia moja kwasababu ni dhambi na badala yake baadaye wajipatie faida kupitia uwekezaji wa mamilioni ya madola katika Rocketman, filamu inayosherehekea ndoa yangu kwa David???''.

Screenshot ya tweeter yake ipo chini hapo na habari hii utaikuta katika shirika la habari la BBC. Link ipo hapo chini.

Hoja yangu: Serikali ya Vatican chini ya papa Francis ilijizolea shangwe na sifa kutoka kwenye jamii za wapenzi wa jinsia moja mpaka wakapeperusha bendera ya Vatican na kutoa sifa nyingi kwa Papa. Mashoga na wanaharakati wa ushoga walimfurahia kutokana kauli zake nzuri za mara kwa mara kwa jamii yao. Hizi kauli zilipokelewa na mashoga kwamba anawaunga mkono katika harakati zao. Ilifika mahali kwenye kurasa za mashoga za instagram na tweeter waliandika kama papa anaunga mkono ushoga wewe ni nani utupinge?. Lakini upepo umegeuka gafla baada ya Vatican kupinga kubariki ndoa za jinsia moja.

Je ni kauli za papa ndio hazikueleweka kwa mashoga?

Au Kanisa catholic limeshinda msimamo wa papa?

Au Vatican inafanya siasa?

Hebu tuachane na hayo, tuifungue Biblia. Msimamo wa Biblia ni huu.

"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.1 Kor 6:9‭-‬10 SUV"

Hapa tunapata fundisho gani?

Hapo tunapata msimamo wa moja kwa moja wa kikristo. Hivyo Biblia haiweki tu msimamo juu ya walawiti (homosexual) bali kwa aina zote za dhambi. Mungu hajawai ipamba dhambi yoyote, ni mwenye Haki, hajawai muhesabiwa mwenye dhambi kuwa hana hatia (dhambi) bali anawaita wote waifikie toba Ili awahesabie haki kwa neema yake. Mungu anapenda jamii yote ya wanadamu, Ingawa wote wametenda dhambi na kupungukiwa utukufu wake. (Warumi 3:23). Alimtuma mwana wake ili awatoe katika kifungo cha dhambi, Bwana Yesu aliitwa rafiki wa wenye dhambi maana alijishughulisha kuwatoa katika vifungo vya dhambi. Zingatia hakuitwa rafiki wa dhambi bali wa wenye dhambi. Alimfungua Zakayo katika kifungo cha rushwa, alimfungua Paulo kutoka kwenye kifungo hasira na mauaji, alimtoa Magdalene katika kifungo cha zinaa, na wengi aliwafanya wenye haki. Hivyo hakuungana na harakati za serikali za dunia kutafuta haki mbalimbali maana yeye ndiye alikuwa HAKI ya Mungu.

Yesu alivyoletewa mwanamke aliyefumaniwa kwa uzinzi, hakutetea uzinzi wake au kutoa maneno ya kuwapendeza wazinzi bali kwanza aliwakemea mafarisayo ambao walitoa hukumu isiyo ya haki kwa mujibu wa kitabu chao cha Torati ambacho kiliwaagiza watoapo hukumu nao wanapaswa kuwa safi (wenye haki). Na kweli hawakuwa wenye haki sababu walikuwa wamemleta huyo mama bila mwanaume aliyefanya naye uzinzi, maana Torati iliagiza wote wapigwe mawe na si mwanamke tu. Baada ya dhambi zao kufunuliwa walikimbia. Baada ya hapo Yesu alimwambia huyo mama mimi sikuhukumu, nenda zako lakini usitende dhambi tena. Huko ndio kuokoka kwa neema. Hivyo Neema si maneno tupu, neema inaiweka dhambi peupe (inakuambia wewe ni mdhambi, jambo unalolifanya litakuangamiza) na ina kupa wito wa kutubu (kukufanya huru) mbali na dhambi ili utoke katika mauti uingie katika uzima, maana dhambi inaleta mauti. Hivyo Msimamo na neema ni huu, tubuni na kuiamini Injili maana ufalme wa Mungu umekaribia. Kiongozi yoyote wa dini anapaswa kuzingatia hayo. Kumhubiri Yesu ndiyo haki za binadamu.

Hivyo basi watu kama kina Elton John, wanapaswa kuambiwa ukweli kwamba Mungu alimuumba Adam na Hawa na si Adam na Steve, hivyo tendo hilo afanyalo ni chukizo kwa Mungu, hivyo basi Mungu hashirikiani na Matendo ya giza ila nimwokozi wa kuwatoa watu gizani na kuwahamisha na kuwaingiza katika ufalme wa Mwana wa Pendo lake. (Wakolosai 1:13-14). Hivyo uwezo wa kuwatoa dhambini (wasiwe mashoga nk) upo kwa kila aaminiye.

FB_IMG_16846511693057115.jpg
 
Back
Top Bottom