Anza kutengeneza publicity katika jamii ya watu wako utakaohitaji wakuchague .Salaam!
Kama kichwa kinavyojipambanua. Huu ndio mpango wangu miaka 3 ijayo. Jimbo nitalitaja hapo baadaye.
Kwa sasa naomba ushauri na mawazo yenu ya kunijenga na kuniwezesha kufanikiwa juu ya mpango wangu huu.
LENGO LA KUGOMBEA
Anza kutengeneza publicity katika jamii ya watu wako utakaohitaji wakuchague .
Kikaribie chama uweke njia mapema.
Ila zaidi andaa pesa nzuri ya kuendesha kampeni ndugu.
Kila la kheri ukipata basi nikumbuke kwa hii komenti ya mwanzo kwa kushukuru tu nitafurahi sio kwa lolote wala chochote.
Wewe hutaki kula asali? Ukigombea ACT huchomoki alafu unauhangaikia huo ubunge hatari. .
Kama uko ACT damu basi Anza na wenyekiti wa serikali za mitaa au udiwani. Update exposure wakujue ndo wakupe huo ubunge. Bado mdogo sana una nafasi ya Kuja kugombea ubunge. .
Fanya according to my experience
Tafuta chama chenye ushawishi Mfano CHADEMA au Ccm
Secondly tembelea wapiga kura wako ndani ya Mwaka mmoja before election
Tatu Andaa kamati ya ushindi hii uwajumuisha watu wa fitina za kisiasa
Nne kuwa mtu wa Mungu Sana au tumia uchawi
K
Ukipitia Act hutoboi
Target hasa vijana wape matumaini hata Kama hayana ualisia lakin waone something. Is going to happen
Ukipata ubunge usiache kuwa karibu na watu .
We usiangalie sijui Ccm au nn kuwa Mtu wa mikakati me I trust kama lengo Ni kuwapatia wananchi maendeleo usiangalie chamaAppreciation brother! Ndo maana nimeomba mawazo ila CCM HAPANA MKUU!
Karibu kwenye game,baada ya 2025 utakuwa ni maskini wa kutupwa.Salaam!
Kama kichwa kinavyojipambanua. Huu ndio mpango wangu miaka 3 ijayo. Jimbo nitalitaja hapo baadaye.
Kwa sasa naomba ushauri na mawazo yenu ya kunijenga na kuniwezesha kufanikiwa juu ya mpango wangu huu.
LENGO LA KUGOMBEA
Mbali na specialization yangu katika siasa, bado nimeona naweza kutoa mchango mkubwa katika kuwatetea wananchi wa jimbo langu ambao tangia uhuru wao bado wanaishi kama watumwa tu. Jimbo langu lipo pembeni ya nchi na hivyo wananchi wa eneo hilo hunasabishwa na wakimbizi. Ni bahati mbaya sana kwamba kila baada ya uchaguzi wawakilishi wetu hutimkia Dom au Dar huku wananchi wakibakia kunyanyaswa na “wenye uniform” bila mtetezi. Unaweza usiamini lakini ukweli ni kwamba ukifika jimboni kwangu utahisi haupo nchini Tanzania. I need to do something and I’m capable.
WASIFU WANGU KWA KIFUPI
1. Umri.......35years.
2. Elimu......bachelor degree in pure philosophy and masters degree in political philosophy.
3. Net worthy....+100M cash plus ~40M in assets
4. Marital status......Married
5. Experience..........Average
CHAMA CHA SIASA
-UPINZANI- preference ACT WAZALENDO
-Practical reason....... CHAMA CHA SIASA CHA UPINZANI CHENYE TASWIRA NA FALSAFA
Nakaribisha mawazo na ushauri wenu.
Aquila non capit muscas!