Burundi ina mpango wa kujitoa ICC ikidai mahakama hiyo ni kandamizi na ni kwa ajili ya kuzionea nchi za Áfrika pekee, wakati huo huo mataifa makubwa yakiisii isijitoe.
Nini maoni yako na hii inatuma ujumbe gani "alert" kwa nchi nyingine za Áfrika.
Ni jambo Zuri kujitoa sababu hiyo Mahakama ni kichaka cha watu wachache waliyo itazama Afrika tuu.
Kwa hiyo kujitoa kwao ndiko kutawaamsha viongozi wengine