Mpangaji mwenzangu vipi huyu

Mpangaji mwenzangu vipi huyu

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Wakuu nashindwa kuelewa tabia ya huyu mpangaji mwenzngu ..ni mshkaji kijana km mm ..ila yy kabahatika kuoa na anamtoto mdogo

Ila taibia ya jamaa.siielewi ukwel..jamaa unaweza kumpa Hi akauchuna hii kitu nimeiona toka nilipo hamia hapa..me sijaoa Ila toka nimehamia nimezoeana na wapngaj wengine hata mkewe wallahy nimcheshi mchamgamfu pia kaumbika...hata baadhi ya vitu tuna saidiana km majirani

Najuzi kati tulikuwa tunapiga stori wapngaj wote akiwemo mkewe ...alivyo fika nika Note kitu jamaa alichange

I don't give a f*ck but tabia ya mshkj inanshangaza mtu wakununanuna hana ushirikiano..Af ni MTU WA SINGIDA...je watu wa singida ndio tabia zao au
 
punguza kuwa karibu na mkewe kuwa karibu na wengine tu..! in short uchangamfu wako hauamin..!
 
Hivi wewe nani amekuruhusu ujiunge na JamiiForum????
 
hizi story mbona za kikuda sana....nahisi humu jamvini kuna vitoto vingi sana.
 
Yaani dume zima unaleta habari za k.i.s.e.n.g.e humu,hivi utaweza kujenga mazoea na mke wa mtu?Unataka watu wakushauri kuwa uendelee na tabia zako za kukaa na "wanawake" wenzako?
 
Unaposema mke wake kaumbika,maana yake unamwangalia mkewe kwa matamanio!na amelijua hilo.Kaa mbali/acha mazoe naye.usije kuja kupewa dozi kama anayopewa mkewe ukaja lalamika.
 
Back
Top Bottom