Mpambe wa Diamond adundwa naka bwana mdogo

Mpambe wa Diamond adundwa naka bwana mdogo

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,080
Reaction score
12,300
Wiki imepita tangu mlinzi wa mwanamziki diamond kutumpia picha kwenye instagram akiwa kwenye mashindano ya mieleka nchini urusi akikwidana na ka bwana mdogo, kwanza tulishangaa bonge kama yule kupangiwa ka bwana mdogo na tuliamini angeosha kwa kukatoa noki auti lakini hadi sasa ameshindwa kusema kama alishinda lile pambano na kutoa ushahidi usiokuwa na shaka kuwa alidundwa.
 
wek picha basi yaani kweli hujui kwamba habari kama hizi za udaku hupendeza zaidi zikiwa na picha?
WEKA PICHA KIJANA VINGENYO MOD FUTENI HII HABARI
 
Poda zile hakuna kitu pale wewe mtu abebe chuma wiki mbili tu ajae vile
 
wek picha basi yaani kweli hujui kwamba habari kama hizi za udaku hupendeza zaidi zikiwa na picha?
WEKA PICHA KIJANA VINGENYO MOD FUTENI HII HABARI

kasimu ka mchina nashindwa ku upload.
 
Mwili mkubwa si sababu ya ushindi,ushindi unaletwa na mbinu kutokana na kutumia akili zaidi kuliko nguvu,haukumbuki juwa Daudi kijana mdogo alimwua Goliathi,mtu aliyekuwa na mwili wa kutisha?.
 
Back
Top Bottom