mpaka dk hii zamalek inaongoza kwa bao 1,dhidi ya yanga.bao limefungwa na mido.katibu wa yanga anasema eti ilikuwa off side!refa akaacha tu!source.times fm.kipindi cha kwanza ndio kinakwenda ukingoni