Mpaka Disemba 2016 Thread za Kumkumbuka Kikwete Zitakuwa zaidi ya 100

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
14,665
11,684
Habari ndio hiyo... Maana watakao athilika ni wengi sana... Nchi itanyooka lakini haita kuwa na watu wanaoitamani... fresh from school ndio watajaa makazini serikalini maana wa zamani ni wale wale ambao hamna wa kumnyooshea kidole mwenzake... sasa Kumshauri Ankal Magu agange yajayo yaliyopita si ndwele hizi fukunyuku za kufukua fukua almost huwa zina kikomo chake... sasa at least angeweka kiwango cha kutumbua maana hadi wale wa million 10 hadi 50 wangeachwa tu angedeal na mapapa... watu wametoa sana Jasho kwa Nchi na wengi wamelazimika kuchota nao sababu ni kama chain huwezi kwepa na hakika waliokwepa walipoteza kazi zao....

Ndio maana kitu kiitwacho System at work huwezi kwepa.. wala shindana nayo so wadogo waachwe wamekuwa kama remote tu...

Mimi Kama Bosi wangu anakula mlungula na mimi ndie natumwa and then nadondoshewa cha juu hali yangu ya maisha ni chini siwezi kataa... Ndio Maana Ankal Magu aliposema ule Mgonjwa Hospital atibiwe bure au yeye atoe sehemu ya mshahara wake mgonjwa atibiwe Hospital ikavunja utaratibu wake Mgonjwa akapimwa na kutibiwa... Akija Raisi mwingine hao walikuwepo Hospital ni Majipu yatatumbuliwa.... Naona watendaji wa Chini waachwe watafutwe wale mapapa yanayolipwa mishahara ya juu and then yanaiba kwa kutumia remote...
 
Back
Top Bottom