M Muarobaini JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 215 Reaction score 73 Sep 10, 2013 #21 Mwita Maranya said: Hahahaaaa wewe mzee wa Mbeya masopakyindi ngoja nikiingia bungeni 2015 halafu spika wa bunge awe ****** tutatafutana ubaya bure! Click to expand... Mzee mwita maranya yani hili watu wengi wanaliongelea maana asingekuwa sugu tu watu wengi wamepania wkiingia bungeni yule ndugai au kiti wakisimamia upuuzi lile siwa lazima limtue kichwani ni afadhali ufe mbunge mmoja na sio mamilioni ya watanzania Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwita Maranya said: Hahahaaaa wewe mzee wa Mbeya masopakyindi ngoja nikiingia bungeni 2015 halafu spika wa bunge awe ****** tutatafutana ubaya bure! Click to expand... Mzee mwita maranya yani hili watu wengi wanaliongelea maana asingekuwa sugu tu watu wengi wamepania wkiingia bungeni yule ndugai au kiti wakisimamia upuuzi lile siwa lazima limtue kichwani ni afadhali ufe mbunge mmoja na sio mamilioni ya watanzania
Nswima John Edward JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 612 Reaction score 312 Sep 10, 2013 #22 Marire said: ukiwaruhusu hawa wa kwetu waingie na bastola ndani,kuna yule waziri anamiliki Smg ataua wapinzani Click to expand... Adam Malima? Kweli, huyu jamaa atatumaliza kabisa.
Marire said: ukiwaruhusu hawa wa kwetu waingie na bastola ndani,kuna yule waziri anamiliki Smg ataua wapinzani Click to expand... Adam Malima? Kweli, huyu jamaa atatumaliza kabisa.
Kabuche1977 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2009 Posts 564 Reaction score 228 Sep 11, 2013 #23 Mzee said: Hii inavyoonyesha ni jinsi gani wabongo tulivyo wajinga. Tunatumia udhaifu wa bunge la Jordan kutetea uhuni wa Sugu. Jamii iliyoelimika haiwezi kushabikia Uhuni kama huu. Click to expand... Muhuni mwenyewe ambaye buwezi kufikiri, kwani kuwa mbunge ndo watu wakufanyie vurugu tu??? wake up kwenye usingizi huo wa pono, usiye jitambua wewe
Mzee said: Hii inavyoonyesha ni jinsi gani wabongo tulivyo wajinga. Tunatumia udhaifu wa bunge la Jordan kutetea uhuni wa Sugu. Jamii iliyoelimika haiwezi kushabikia Uhuni kama huu. Click to expand... Muhuni mwenyewe ambaye buwezi kufikiri, kwani kuwa mbunge ndo watu wakufanyie vurugu tu??? wake up kwenye usingizi huo wa pono, usiye jitambua wewe
K Kaka Jambazi Member Joined Dec 23, 2012 Posts 99 Reaction score 7 Sep 11, 2013 #24 Kwetu BUNDUKI za nn? TUNGULI ZATOSHA!
GODFREY HAIVENJE Member Joined Sep 10, 2013 Posts 22 Reaction score 2 Sep 11, 2013 #25 Hallow wadau wa jamii flm.
Che Guevara JF-Expert Member Joined May 22, 2009 Posts 1,236 Reaction score 350 Sep 11, 2013 #26 There are currently 324 users browsing this thread. (4 members and 320 guests) Che Guevara, Teke, Ipi dot com, choggo.
There are currently 324 users browsing this thread. (4 members and 320 guests) Che Guevara, Teke, Ipi dot com, choggo.