duh!! umetendwa na bidada....pole sana mwana. ila na nyie wanaume bwana mnakuwa mabwege sana mpaka mnatendwa na mwanamke. loh!!! wagegedeni alafu sepa kaka
Ndugu wana jamii nahitaji msaada wenu,nina mchumba ambaye nimedumu nae kwa muda wa miaka 2,nampenda sana na ni mrembo sana.Hivi karibuni nimegundua ametoa ujauzito ambao alinipa taarifa kuwa anao lakini anajitetea kuwa hakuwa nao.Mbaya zaidi kwa sasa ananijibu kwa kauli mbovu sana na hata muda wa kuongea nami hana zaidi ya kunikatia simu napata shida kuacha kumtafuta na kusahau yote niliyoshirikiana nae naomba ushauri wenu nifanyeje au niendelee kupigania haja ya moyo wangu?
Mmh! kumbe ndo zako
Mwisho wa jambo fulani ni mwanzo wa jambo lingine zuri zaidi. Naamini kabla ya huyo ulikuwa naye mwingine, siku zote mambo huenda yakibadilika, (vibaya/vizuri). Huenda MUNGU anakuepusha na hayo atakayokusababishia huyo dada.