Moyo umeniambia

Yani dini ndy kikwazo kikubwa sn kwa watu kushndwa kuoa au kuolewa, lbd km mmoja atakubali kubdili dini amfuate mwenzie...lasivyo mtavutana sn ktk huo uhusiano
Kwani mkuu dini ni muhimu sana?
 
daftari la kujiandikisha kupiga kura lipo kwenye mitaa yenu hivo kila mwananchi mwenye haki ya kuchagua viongozi awapendao aende akajiandikishe.

wahi sasa kuepuka usumbufu wa foleni.

Huo muda wa kujiandikisha si bora uingie mtandaoni u download pilau
 
ukifika hatua ya kutaka hata singo mama usisite kuni pm

wapo wengi kitaa huku ntakuunganisha nao mana hawataki hata kujiandikisha kwenye daftari la kudumu
 
Siyo umama, nimekuuliza hivyo makusudi tu kwani nyie wanaume wa Dar mna asili yenu, mtu anakuambia anatafuta demu kumbe anajitongozesha kwa wanaume ili aolewe yeye.
Nipe mkeo au umbu lako nikuoneshe uanaume wangu wa dar.
 
ukifika hatua ya kutaka hata singo mama usisite kuni pm

wapo wengi kitaa huku ntakuunganisha nao mana hawataki hata kujiandikisha kwenye daftari la kudumu
Sijachuja kiasi hicho mkuu...unanikosea heshima.
 
Kama upo dar kuanzia tarehe 28 hiv tembelea sana Mlimani...vijident ving vya mkoani vitakua mjini kuanza Uchuochuo...
 
Nenda kwa Rwakatale pale mwanaume kuandika andika mtandaoni kwamba unatafuta mke na wenyewe ni dalili ya upungufu wa nguvu za kiume
 
daftari la kujiandikisha kupiga kura lipo kwenye mitaa yenu hivo kila mwananchi mwenye haki ya kuchagua viongozi awapendao aende akajiandikishe.

wahi sasa kuepuka usumbufu wa foleni.
Foleni itoke wapi waandikishaji kutwa wanapiga miayo hamna wanakuja l kujiandikisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…