Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
ha ha ha ha ha watakuja mkuu we wasubiri tuSio mimi jamani ni moyo. Mnaweza nilaumu mpaka kesho lakini Mimi mweupe pee kwa hili sijakosea. Ni moyo ndio unataka, na moyo ukitaka Hamna jinsi upe unachokitaka ili moyo utulie akili na mwili viendelee na mambo mengine.
Wakati wahitimu wa vyuo wakigombani ajira chache mitaani. Wadada wa JF wanapishana na gari LA mshahara. Ni takribani mwezi mmoja nimetoa tangazo la uhitaji wa Mrs. Nebuchadnezzar lakini mpaka Leo sijapokea barua ya maombi. Hivi, tuseme wadada wa JF mmeolewa wote au wote mna wachumba na mabwana?
Anyway, napunguza vigezo...ikitokea nimekosa kabisa...nawalaani wadada wote ambao hamjaolewa nabado mnazubaa. Hamtaolewa tena.
Haya kama una hivi vigezo, unanifaa.
1. Umri: Wowote ule
2. Urefu: Awe mfupi sawa, awe mrefu sawa. Sina ubaguzi.
3. Rangi: Yyote ile...ila asiwe amejichubua. Sitakiiii.
4. Dini: Awe mkristo sawa awe muislamu sawa. Asiwe na dini sawa.
6. Elimu: Awe anajua kusoma na kuandika tu
Nimemaliza na hapa nikose sasa...tutaona tena kama mtapata bahati kama hii.
Jamani niliweka vigezo nikakosa hata mmoja sasa nmeamua yyte yule vigezo badae. Hata wewe kama upo tayari ucjal.Mmmh we kwako kila kitu sawa[emoji849]..haiwezekani
Nasubiri mkuu maana nmechoka.ha ha ha ha ha watakuja mkuu we wasubiri tu
Kwani ww unaye tyari?
Yani kwa style hii uliyoionyesha ,ata dini yyte tu...aisee sijui km kweli ww una nia ya kuoa...haiwzkn we kila kitu unakubali kuwa ni vyvyte tuSio mimi jamani ni moyo. Mnaweza nilaumu mpaka kesho lakini Mimi mweupe pee kwa hili sijakosea. Ni moyo ndio unataka, na moyo ukitaka Hamna jinsi upe unachokitaka ili moyo utulie akili na mwili viendelee na mambo mengine.
Wakati wahitimu wa vyuo wakigombani ajira chache mitaani. Wadada wa JF wanapishana na gari LA mshahara. Ni takribani mwezi mmoja nimetoa tangazo la uhitaji wa Mrs. Nebuchadnezzar lakini mpaka Leo sijapokea barua ya maombi. Hivi, tuseme wadada wa JF mmeolewa wote au wote mna wachumba na mabwana?
Anyway, napunguza vigezo...ikitokea nimekosa kabisa...nawalaani wadada wote ambao hamjaolewa nabado mnazubaa. Hamtaolewa tena.
Haya kama una hivi vigezo, unanifaa.
1. Umri: 18-24 mwisho
2. Urefu: Awe mfupi sawa, awe mrefu sawa. Sina ubaguzi.
3. Rangi: Yyote ile...ila asiwe amejichubua. Sitakiiii.
4. Dini: Awe mkristo sawa awe muislamu sawa. Asiwe na dini sawa.
6. Elimu: Awe anajua kusoma na kuandika tu
Nimemaliza na hapa nikose sasa...tutaona tena kama mtapata bahati kama hii.
Mmmh hapo ss sidhn km kuna ukweli, yn we mti hawakufaham lkn waje tu pm usiku na mchn...duhDunia ni kubwa sana.
Wakati wengine tunawindwa usiku na mchana, wengine wanawinda usiku na mchana.
Natamani nikupe mmoja kati ya wengi wanaonisumbua pm but am less capable.
Sio mimi jamani ni moyo. Mnaweza nilaumu mpaka kesho lakini Mimi mweupe pee kwa hili sijakosea. Ni moyo ndio unataka, na moyo ukitaka Hamna jinsi upe unachokitaka ili moyo utulie akili na mwili viendelee na mambo mengine.
Wakati wahitimu wa vyuo wakigombani ajira chache mitaani. Wadada wa JF wanapishana na gari LA mshahara. Ni takribani mwezi mmoja nimetoa tangazo la uhitaji wa Mrs. Nebuchadnezzar lakini mpaka Leo sijapokea barua ya maombi. Hivi, tuseme wadada wa JF mmeolewa wote au wote mna wachumba na mabwana?
Anyway, napunguza vigezo...ikitokea nimekosa kabisa...nawalaani wadada wote ambao hamjaolewa nabado mnazubaa. Hamtaolewa tena.
Haya kama una hivi vigezo, unanifaa.
1. Umri: 18-24 mwisho
2. Urefu: Awe mfupi sawa, awe mrefu sawa. Sina ubaguzi.
3. Rangi: Yyote ile...ila asiwe amejichubua. Sitakiiii.
4. Dini: Awe mkristo sawa awe muislamu sawa. Asiwe na dini sawa.
6. Elimu: Awe anajua kusoma na kuandika tu
Nimemaliza na hapa nikose sasa...tutaona tena kama mtapata bahati kama hii.
Punguza umama.Je, wewe mwenyewe utapenda kuolewa ikiwa mwanamke ajitokezi kwako?
Nina nia.Yani kwa style hii uliyoionyesha ,ata dini yyte tu...aisee sijui km kweli ww una nia ya kuoa...haiwzkn we kila kitu unakubali kuwa ni vyvyte tu
Kwani mkuu dini ni muhimu sana?Yani kwa style hii uliyoionyesha ,ata dini yyte tu...aisee sijui km kweli ww una nia ya kuoa...haiwzkn we kila kitu unakubali kuwa ni vyvyte tu