Yaani PJ kweli wantukana hivi hivi jamani!.:caked:Pole sana best!
Kilugha changu huwa tunasema "Uyenyaje tee apubumile ulwayo"...Patazame sana ulipojikwaa kidole, utajifunza kitu!
Naamini sasa utatumia jicho la ziada kila unaposhawishika kuingia penzini!
Ni hilo tu!
cjui ilivyotokea, nilishangaa mie sio favorate girl wake tena. Uki2ma maombi ctayapokea, ntaichanachana barua hyoVp hujasema ilikuwaje akapeperuka au ulikuwa unambania baadhi ya vituz, ila umetangaza nafasi ngoja tutume apilication
duh, kumbe hutak kuziba pengo! Tatizo warembo cku hzi mmekuwa wengi kupita kawaida inabidi tuonje wote, kwani nao wanahak ya kupata hyo hudumacjui ilivyotokea, nilishangaa mie sio favorate girl wake tena. Uki2ma maombi ctayapokea, ntaichanachana barua hyo
sikumpendea cheo wala pato mito, ila nilidhani kwa nafasi yake alipo angekuwa na adabu, kumbe cheo kilimpa accesibility to more women!Piga moyo konde dada yangu, muombe sana Mungu atakupa nguvu za kumsahau na kusahau maumivu aliyokusababishia. Huwezi jua pengine kuna kitu umeepushwa, hivyo usilalamike sana. Isitoshe ni hali ya kawaida sana ktk relationship, si wewe wa kwanza kuachwa. Mi mwenyewe niliachwa na mchumba wangu ikaniuma sana. Lakini kumbe Mungu alikuwa ananiepusha na janga kwani mchumba yule alikuja kufa kwa ukimwi baada ya miaka 3. Nilikaa mwaka na nusu (nikitafakari na kuji-assess) ndo nikaingia kwenye relationship ambayo hadi leo tunaishi kwa raha mustarehe - miaka 8 sasa. Kwahiyo jitahidi ku-take it easy. Ila usifanye papara kuingia kwenye relationship nyingine. Tumia huu muda kujipanga na kujiuliza/kufanya utafiti ni kwanini huyo jamaa ameamua kukumwaga. Hii itakusaidia kuepuka kuachwa kwa sababu hizo hizo in future. Zaidi acha kabisa tabia ya kumpenda mtu eti kwavile ana cheo/kazi nzuri, elimu, pesa, and any kind of material things. Tena epuka kabisa mwanaume anayeku-approach kwa kuonyesha hivi vitu. Kigezo chako cha kwanza na cha mwisho iwe ni kwamba umempenda tu (jinsi alivyo) kwa dhati. Pia achana na vigezo ambavyo ni rare ktk jamii kama vile mrefu, handsome n.k. Hivi vigezo vinawaponza sana akina dada, sema tu wengi wenu hamjui!
sikumpendea cheo wala pato mito, ila nilidhani kwa nafasi yake alipo angekuwa na adabu, kumbe cheo kilimpa accesibility to more women!
thanx kwa ushauri. Ila nimeshakaa nae kitako akanijibu vibaya, akaniambia mie mshamba, cpend kujirusha navaa kizee hajickii poa kutoka na mwanamke ametinga nguo za kushona. Anataka nivae tofauti na nilivyo, nguo za kuonesha sehem za mwili nami cwezi. Nimembembeleza aelewe hlo ktk mavazi lakini wapi! Nimebaki kuumia kwani siwez kuanika mwili wangu kisa namfuraisha yeye kwa kweli.Nadhani hicho ulichosema ndio chanzo cha tatizo. Wanaume wengi wakiwa katika nafasi fulani nzuri either kicheo/nafasi au kipato wanawake au wasichana wengi huvutiwa naye kwa sababu mbalimbali lkn kubwa ni kutaka kumchuna huyo kidume kutokana na nafasi aliyo nayo.Huo ndio ukweli ulivyo hasa kwa maisha ya sasa yalivyo.USHAURI:Inawezekana kabisa huyo mpz wako atakuwa amekutana na matapeli wa kimapenzi wa staili hiyo hapo juu, hivyo nakushauri jaribu kuwa mvumilivu ktk hiki kipindi kigumu, then kama unaweza kukutana naye muombe siku moja mkae sehemu tulivu then ongea naye kwa upole na umakini mkubwa ili akuambie nini tatizo hadi amefikia kukutesa moyo wako hivyo hali akijua wazi kuwa unampenda kwa dhati na yeye ndio uliyemkabidhi moyo wako wote.Ukiona haelekei au anakuletea ujeuri fulani basi wewe chapa lapa tu mpendwa wala usijali mungu yupo nawe daima. Ila humu JF kuwa makini kuna mafataki balaaa usione watu wapo kimyaa au wanatoa comments kimtindo, yaani ukilegeza kidogo tayari wanabeep au kupiga kabisaaaa ukija kustuka utakuta umejaza Dar expresss au Yutong!