Moyo Mpweke International Exposure

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,814
Je wewe ni mpweke na unatafuta wa kukutoa upweke na ubaridi ? Jiunge nasi tarehe 18/9/2016 jumapili ukumbi wa Mlimani City tufurahie pamoja na kukutana na wenzako.
Wageni Maalum: Madam Sepenga wa Vigoma, Chidimapenze a.k.a Bonge la Bwana.
Muda: kuanzia saa 1 usiku,
Kiingilio; 20,000 Tsh
Burudani: shishi beibi &manpongo
UJUMBE : kuolewa ni lazima, Muda wako haujafika tu.
Mawasiliano :0716435907
 
mim sijaelwa ni party ya kitu gan.....
 
eti kuolewa ni lazima..... hatari sana
 
Ni party ya kukutana na kubadilisha mawazo, ikibidi kukutana na yule unaedhani anaweza kukutiliza moyo. Karibuni sana.
 
Wadau tunajiandaa kufanya party ya mwaka huu 2017. Stay tuned.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…