donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Kina nani?Ngoja waje
Kina nani?Ngoja waje
Kina nani?Ngoja waje
Hehe.. kama ni ishu ya kufa.. Mbona Black widow kafa kwenye Endgame na mwakani tunafungua na muvi yake.. tena Tony stark yasemekana atakuwepo.Salaam wakuu,
Naanzisha uzi huu maalumu kwaajili ya kurate movies ambazo tumeshaziwatch, ni kama our own version ya rotten tomatoes au IMDb. Nikianza na avengers endgame, binafsi nairate 6.5/10, japo marvel wali-invest hela nyingi lakini zile sci-fi effects zimezidi sana hata mtoto mdogo humdanganyi na storyline haijakaa poa maana kama tony stark amekufa sijajua mwendelezo umekaaje. Karibuni wadau
Ni marvel studio? Kutoa muvi nyingine sio ishu, ishu mwendelezo, watakuja kukosa story za kutuambia mbeleni, bora hata x-men dark PhoenixHehe.. kama ni ishu ya kufa.. Mbona Black widow kafa kwenye Endgame na mwakani tunafungua na muvi yake.. tena Tony stark yasemekana atakuwepo.
Muvi itakua ina setting ya miaka ya 97s kama sijakosea.
Muvi za marvel hawaigizi mambo ya kufikirika ila hua wanatuonyesha mambo yajayo mbeleni
Nilimaanisha Marvel studios.. Mwakani si ndo twaanza Phase 5. Dark phoenix sijaiona ila sijui kwanini Joker rating yake imefika 9.8 wakati imeonyeshwa siku moja tu Venice..ngoja tuisubir October waki release USANi marvel studio? Kutoa muvi nyingine sio ishu, ishu mwendelezo, watakuja kukosa story za kutuambia mbeleni, bora hata x-men dark Phoenix
6.5 to the top grossing movie of all times !!!
Understatement of the century..
Endgame naipa 9/10....
Nilimaanisha Marvel studios.. Mwakani si ndo twaanza Phase 5. Dark phoenix sijaiona ila sijui kwanini Joker rating yake imefika 9.8 wakati imeonyeshwa siku moja tu Venice..ngoja tuisubir October waki release USA
Facts?
Anna 2019 naipa 9/10
Nimeiona ila hiyo rating yako nina mashaka nayoFacts?
Siku hizi horror sizimaind kivile, af henry cavill ametoa floppy muvi haijawahi tokea yaan. Inaitwa night hunter, najuta kupoteza mb zangu