Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 557
Pole na mihangaiko ya hapa na pale ili kutafuta chapaa Tusogeze maisha basi wikiendi baada ya bata ni movie
list ya movie zangu za wikiend hii ya jumapili
A Gangster A Cop and Devil : ni movie ya wakorea katika hii movie utaona namna ambavyo polisi na kundi la wahuni walivyoshirikiana kumtafuta muuaji Muuaji wanamkamata lakini hawana ushahidi wa kutosha Hapo sasa.. itafute utaja niambie
Suicide squad 2021
jolt 2021
Rampart
Vivo Animation
Vanquish
Misfit
Quiet place 2
Jungle cruise
Atomic blond
take it back
list ni kubwa Ebu ongezeeni wadau na nyie maanis movie zote ya 2021 ninazo mpaka pc inatetemeka
muwe na wikiend njema