Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 561
Nikitegemea kumuona yule Mjapani gaidi mule lakini wapi. 4/10Li movie li baya movie nzima eti challenge 3, ukiangalia snake eyes wa kwenye g.i.joe vupo vizuri ma kungfu, judo na masarakasi yamelala pale huyu jamaa hata sijui alikua ana fanyanya nn. Rate yangu ni 3/10 tena tatu yenyewe ni kwa ajili ya yule bibi mkuu wa kikosi
[emoji1787][emoji1787] mnadhambi sana mutengeneze zenu sasa tuzipe rateNikitegemea kumuona yule Mjapani gaidi mule lakini wapi. 4/10
Sure movie ya kawaida nilikuw nategemea itakua ya moto sana nilivoichek nmejilaumuLi movie li baya movie nzima eti challenge 3, ukiangalia snake eyes wa kwenye g.i.joe vupo vizuri ma kungfu, judo na masarakasi yamelala pale huyu jamaa hata sijui alikua ana fanyanya nn. Rate yangu ni 3/10 tena tatu yenyewe ni kwa ajili ya yule bibi mkuu wa kikosi
Nali rate 9/10 mkuu.Hili sakata la Gwajima na Gwajima sijui litaisha vipi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ngoja iendelee Amesema anamtafuta TommyBinafsi sijaielewa hii movie ,kwenye rating naipa 3/10 , jamaa amefail almost challenge zote alizopewa alaf yuko poor kwenye mapambano
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ngoja iendelee Amesema anamtafuta Tommy
Mkuu tuko pmj kwenye hilo,sijapenda jinsi camera ilivyokua ikicheza,zile actions huzioni vizuri,sijaipenda na pia sijaimalizia nimeishia njiani,siku ikiwa sina movie nyingine ya kuangalia ndo ntaimaliziaJana usiku nimeiangalia nkasinzia skupenda zile movements za Camera walivyokuwa wanashoot ila story wise na plot haiko vibaya sio unique ila sio mbaya so far mpaka nilivyoona.
Sikuimaliza bado maana nliangalia usiku sana nlkua nimechoka na mizunguko
wabongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kukosa ni kazi rahisi sana, mtu yupo zake nchi yenye mavumbi ana mawazo serikali yake inamkamua tozo kila kona basi hasira zake anazimalizia katika kukosoa movie ambazo watu wametulia kutengeneza