Kwa wale wapenzi wa movies tujuzane ni movie gani kali ya mwaka 2014 iliyokusisimua?
Binafsi napenda action movies iwe military,spy na hata karate movies,
John Wick ya Keanu Reeves ni noma,the best nimeona mwaka huu..ikifuatiwa na Lucy, Chef na Top Five ya Chris Rock..Series kama kawaida Ray Donovan s2 ilikua poa..Na Fargo, hii series storyline yako ilikua hatari sana..
Lkn c nzuri mkli ...series gani nzuri Kali ya mwaka huu Kama hiyo ...alfu haijatoka yote ndo maana watu hawana mzuka kaka wanasubiria iwe complete mkli
daaaah sijaona bado post ya muvi Kali kati ya wachangiaji wote walopita..
muvi zangu Kali...
0."a million ways to die in the west" hii ni nouuma usikose kuiangalia
1."Divergent.".uyu actress aleigiza umu ndani ni mzuri noma
2,guardians of galaxy.hii ni nouuma van dzel kucheza ka mti muda wote anaongea"l am glu"ka sijakosea
3.step up all in...ni nouuuuma hii
Kwa wale wapenzi wa movies tujuzane ni movie gani kali ya mwaka 2014 iliyokusisimua?
Binafsi napenda action movies iwe military,spy na hata karate movies,
1.A million way to die in west(2014) utacheka mpaka ukome. 2.Think like a man2(2014). 3.7000(2014). 4.Night at the museum. 5.Edge of tomorow
6.The immatation game. 7. The grand Budapest hotel
1.A million way to die in west(2014) utacheka mpaka ukome. 2.Think like a man2(2014). 3.7000(2014). 4.Night at the museum. 5.Edge of tomorow
6.The immatation game. 7. The grand Budapest hotel