Kwa wale wapenzi wa movies tujuzane ni movie gani kali ya mwaka 2014 iliyokusisimua?
Binafsi napenda action movies iwe military,spy na hata karate movies,
Gang related,kama haujaona hii fanya haraka kabla azijafika mbali unapitwa.
Ipo tryt pia,ama the last ship na banshee japo ni ya zamani ila kuna vipande vimetoka mwaka huu.