Moved; tra wameita

Voice of Wisdom

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
537
Reaction score
240
hadi kufikia sasa taarifa zilizofikia vow zinasema tra wametuma email ya kuwaita watu kwenye interview itakayofanyika tarehe 04/02/13 msimbazi centre. Taarifa nilizopata ni kwa wale walioapply preventive assistance, kwa tax officer bado sijapata ila wengine mnaweza kutujuza.
Cha kushangaza ni kwamba kuna watu wenye gpa kubwa na wameachwa.
Taarifa hizi hazijachapishwa popote hvyo msiniulize public source
Source: watu waliopokea email za kuitwa kwenye interview
 
yap! thats true wametuma email kwa preventive assistant! toka juzi
 
Kuwa na GPA kubwa sio lazima aitwe, mara nyingi watu husahau kufuata matakwa ya tangazo ikiwemo kupeleka viambatanisho stahiki kama Tangazo linavyotaka. Bahati mbaya hawa wasiotimiza masharti ndio wanaokuwa wa kwanza kupiga kelele eti wamechakachuliwa. Hongereni mlioitwa kwa mchujo na hongereni sana mtakaopita michujo yote na kupata ajira.
 
Mkuu GPA siyo issue!kuna baadhi ya vyuo walimu wao wanawabana sana wanafunzi na hatimaye ujikuta wanapata GPA za chini sana!on the other hand,kuna vyuo vinaraisisha mambo na kujikuta karibu wanafunzi wote wanapata "upper second class"!
 
Hahaaaaa,umenifurahisha sana.so mzee wasuburia kwa hamu dili liitike ulambe mavumba ya TRA!!!
hakuna chochote cha kutisha TRA kawaida tu kama ofisi zingine!tulishawai kuwepo pande hizo enzi za income tax dept under ministry of finance! tatizo watoto waleo wanababaika sana hiyo ofisi! wifi yako michelle obama wa bongo atulii toka juzi anaota tu hiyo interview itakuwaje?
 
Mko serious nyie na mimi niliapply iyo ya preventive assistant na nina gpa ya 3.6 ya diploma ya sheria

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Mko serious nyie na mimi niliapply iyo ya preventive assistant na nina gpa ya 3.6 ya diploma ya sheria

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
yaani tupo more than serious hapa jf kazi na tenda!watu wa chit chat jf ndio hawako serious!
 
Mkuu GPA siyo issue!kuna baadhi ya vyuo walimu wao wanawabana sana wanafunzi na hatimaye ujikuta wanapata GPA za chini sana!on the other hand,kuna vyuo vinaraisisha mambo na kujikuta karibu wanafunzi wote wanapata "upper second class"!

kwanza nikueleze tu mkuu application ilifanyika online na hakuna kiambatanisho kilichohtajika. Pili hao watu ninaowazungumzia ni wa chuo kimoja(yaani wenye gpa ndogo wengi wamechukuliwa na wale wenye gpa kubwa wengi wameacha na wamemaliza same collage and same year na wote wamekidhi vgezo vinginevyo)
 
Ww unashangaa kuna mtu anadegree ya 3.7 sheria na bado wamemtema. Usiniambie ni overqualification kwa sababu tangazo lilisema minimum requirement.
Mko serious nyie na mimi niliapply iyo ya preventive assistant na nina gpa ya 3.6 ya diploma ya sheria

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
..wenye GPA kubwa wengi wapiga mizinga.. 🙂
 
..wenye GPA kubwa wengi wapiga mizinga.. 🙂

hahaha, na utamjuaje mpiga mzinga kama hujamwita ukamfanyia usahili? Acha kuwa na mawazo ya jumla, yaani unataka kuniambia ukiangalia cheti cha mtu mwenye gpa kubwa unasema yeye ni mpiga mzinga?
Kama hukuwah kupata gpa kubwa isiwe sababu ya wewe kujumuisha. Na kipimo chako che wengi ni nini? Maneno uliyoyasema umefanyia utafiti au umewekewa mdomoni na watu?
Simtetei mwenye gpa kubwa ila nataka nipate uhalisia wa usemacho, na kwa mawazo yako unaweza kumshauri mtu asitafute gpa kubwa ili asionekane kuwa mpga mzinga.
Think Great!
 
Ww unashangaa kuna mtu anadegree ya 3.7 sheria na bado wamemtema. Usiniambie ni overqualification kwa sababu tangazo lilisema minimum requirement.

ni kweli anaweza kuwa ameachwa nahisi labda kwa sababu ya nature za kazi za tra kwani zinahusisha sana ujuzi wa hesabu za fedha kuliko wa sheria, hvyo ni rahisi kumchukua tax officer mwenye degree inayohusiana na maswala ya biashara kuliko sheria.(haya ni mawazo yangu tu kwa jinsi ninavyoona, si kwamba ndicho kgezo kilichotumika kumkosesha nafasi)
 
Yaani wewe huoni hako kadude mbele ya sentence na kuelewa ??
I am far better than tht man'... mtoa kilio hakutoa factors nyingi lkn mimi kwa uzoefu wangu na nimeajiri watu kuwa na gpa kubwa sio kigezo cha qualification ya kazi hence call for interview (hii ni nafasi ya kazi sio enrollment chuoni kwa ajili ya academics). Atueleze details zaidi- umri, jinsia, any other work experiences ect. najua kunaweza kuwa na uchakachuaji au madili lkn pia kuna posibility ya mstari kupitia mtu mwenye gpa na madudu mengine sawa just by alphabetical orders za jina/majina ect..

 
are you sure tax officers nao wameitwa???
 
Mkuu GPA kubwa sio ishu...anawezakuwa amebugi kwenye application tu, akaachwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…