motokaa on sale...

motokaa on sale...

Ginner

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
1,576
Reaction score
2,227
Toyota Nadia iko sokoni,.
ni ya mwaka 2000, na imeingia nchini 2010.
imetembea km 143000 ambazo kati ya izo km 43000 ndo imetembea hapa nchini.

rangi ya silver, 2000cc petrol high tec- D4 engine.
inapatikana Dar es salaam.
haina historia ya ajali.

unaruhusiwa kuja na fundi unaemwamini kuikagua kabla hatujafanya makabidhiano.

bei 8mill...tuwasiliane kwa namba 0755815174 kwa wanunuzi au mwenye swali
 

Attachments

  • 2014-05-01 17.57.26.jpg
    2014-05-01 17.57.26.jpg
    159.4 KB · Views: 62
  • 2014-05-01 18.04.04.jpg
    2014-05-01 18.04.04.jpg
    107 KB · Views: 60
  • 2014-05-01 17.57.04.jpg
    2014-05-01 17.57.04.jpg
    139.9 KB · Views: 55
  • 2014-05-01 18.05.55.jpg
    2014-05-01 18.05.55.jpg
    74.8 KB · Views: 50
  • 2014-05-01 18.06.28.jpg
    2014-05-01 18.06.28.jpg
    128.8 KB · Views: 52
Back
Top Bottom