hivi hapo hakuna fire extinguisher waanze kuzima hao vijana wenyewe kabla ya hao zimamoto kufika baada ya masaa mawili
tupeni habari za uhakika bwana. sie tupo arusha tutaamini lipi?
Habari iliyorushwa hivi punde na kituo cha television EATV, zinaeleza baadhi ya mabweni ya wasichana wa chuo kukuu Dar es salaam campus ya mabibo yameteketea na moto... mwenye taarifa zaidi atujuze....
Habari katika picha.
hayo ndo matokeo ya mitaala mibovu ya elimu ya bongo haizalishi heroes jengo linaungua afu vijana wameshika viuno wanaangalia kama muvi ya anold
Ee Munga tuepushe na kafara za wapenda madaraka huku mauaji ya albino huku mabasi na malori tutaponea wapi??
hayo ndo matokeo ya mitaala mibovu ya elimu ya bongo haizalishi heroes jengo linaungua afu vijana wameshika viuno wanaangalia kama muvi ya anold
Kwenye hilo bweni
kuna aliye fanya uzinzi
kuamkia leo