ANDENDEKISYE C
Member
- Mar 5, 2012
- 90
- 23
Kutoka Mabibo Hostel DSM.
Kwa taarifa ambazo zimetufikia muda huu zinadai kuwa Bweni la Wanawake Mabibo Hosteli jijini Dar es Salaam linaungua moto muda huu, bado sababu na chanzo cha moto huo bado hakijafahamika, waandishi wetu wanaelekea sehemu ya tukio kuthibitisha hili na watatufahamisha zaidi nasi tutakufahamisha.
Chanzo: ITV