Wakuu nimeamua kuleta hapa swala vodacom kwa kuwa hili ni jukwaa mama. Tangu Jana saa 10:30 jioni tumekosa kabisa huduma zote za vodacom. Ninachoona kuwa wameanza hawa wenzetu wameanza kufanya siasa.
Kimewafika nini? Kwanini hawakutupatia taarifa mapema tujue kinachoendelea?
Switch zao zilizoko Masaki zimeungua moto...
All subscribers served by MSCs located at Masaki have been affected!
Uthibitisho:Habari ambazo hazijathibitishwa ni kuwa switch yao ilishika moto. Kama ni kweli nadhani itachukua muda kurudi kwenye hali ya kawaida.
Wqmezidiwa na wateja hamieni zantel mpate bahati ktk maisha
Hata mawasiliano ya kawaida hakuna man tangia saa kumiWakuu hii wiki sasa inakwisha internet ya voda imenigomea, vipi na nyinyi ni hivyo hivyo. Voda naikubali sana sababu ilikuwa na spid kali sana. Kama kuna mtu wa voda humu msaada tafadhal modem inapata kutu...!