Nilishuhudia kwa macho yangu kabisa kuna jamaa aligeuka kuwa kiziwi baada ya kufanya kazi Barik zaidi ya miaka 6 kwenye machimbo kutokana na makelele ya Compresors akageuka kuwa kiziwi kabisa kabisa. Masikio yake yalianza kutoa damu, hatimaye alifukuzwa kazi baada ya kuambiwa eti hana uwezo wa kazi tena.