Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,138
Nishahenya mnoo nimebuma.Probook zinazingua sana motherboard,
Nilikua na Probook 450 G2 nayo ikazingua,
Aisee nilikeshaa, nilitembea chocho zote mpk machinga complex olaa,
Nikaiuza kama spare,
Jaribu kwa mafundi.
Ilipiga shoti?Nishahenya mnoo nimebuma.
Now nimeona nijaribu huku JF mana connection ni kubwa.
0653440729 mpigie jamaa huyo anaitwa Steve huwa anakuaga na motherboard za laptop.Nishahenya mnoo nimebuma.
Now nimeona nijaribu huku JF mana connection ni kubwa.
Asante sana.0653440729 mpigie jamaa huyo anaitwa Steve huwa anakuaga na motherboard za laptop.
Sawa mkuu. Nikifanikiwa tu nitakujuzaukiipata na mm unistue , nilikuwa na kesi tatu mbili nilizipatia ufumbuzi moja nataka tuu motherboard ingine na mm
Ndio. Nimepeleka kwa jamaa wawili tofauti imewachapa knock out.Ilipiga shoti?
Hili wazo nimelipata pia. Ila sina uzoefu wa kununua hizi circuit boards online.Agiza Aliexpress.
Asante
Ndio Za Uhakika, Just Nunua, Kwa Hawa Vijana Wa Kariakoo Zitakusumbua Otherwise Ukutane Na Mashine MpyaHili wazo nimelipata pia. Ila sina uzoefu wa kununua hizi circuit boards online.
Zinakua ni za uhakika?
Unaweza nisaidia uzoefu wako
Nimezoea bidhaa za kawaida tu
[emoji2][emoji2][emoji2]aisee pole. Hizi kitu mbona ni shida.Mi mwenyewe nahitaji mother board hp pro 640 G1View attachment 1749971