Je TV yako inaleta mwanga kwenye kioo mara uwashapo? Kama hakuna mwanga wowote basi jaribu kuiwasha kwenye mazingira yenye giza na mulika tochi kwenye kioo ili utazame kama kuna picha yoyote itakuwa inaonekana kwenye background, kama ukiona picha ujue kioo ni kizima ila tatizo laweza kuwa kwenye bulk bulb au inverter/LED board na kama kioo kinawaka mwanga plain yawezekana T-Con board ni mbovu hivyo ikaitajika kubadilishwa kioo chote kama T-Con yake ni built-in