Most suprising photos of 2013

m_kishuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2010
Posts
1,484
Reaction score
372

April 17, 2013. Fifteen-month-old Roona Begum is tended to by doctors and family at a local hospital in Gurgaon on the outskirts of New Delhi. Doctors have successfully carried out life-saving surgery on an Indian baby suffering from a rare disorder that caused her head to swell to nearly double its size, a neurosurgeon told AFP.



 
Oops.

Hiyo ya kwanza ni huzuni sana.
Obama huyo ni inzi ama nyuki ?
 
Mhh, God bless the little man/ little darling right there
 
Ya mwisho imeniskitisha zaidi
 
oops.

Hiyo ya kwanza ni huzuni sana.
Baada ya operation yuko hv

obama huyo ni inzi ama nyuki ?
Heheh, nahisi ile ziara ya tz
the world is full of wonders
 
uwiiiiiii!!!!!!!!!!!!!! ya kwanza imenisikitisha mno, na hizo mbili za mwisho zimenitisha sana!
 
Mwaka 2013 utupe fundisho kukabiliana na miaka ijayo !! "Umoja, Upendo, Uokoaji, Ubora waaisha yetu"
 
Ya Mwisho, ni vice versa ya "Hadi Kifo kitakapo-tutenganisha". Wao wameondoka wamekumbatiana! Ni huzuni sana lakini ni upendo wa dhati. R.I.P.
 
Daaa hiyo ya kwanza huzuni sana ila ya mwisho ni huzuni mno
 
Central African Crisis: Yaani hapa hauna haja ya kufikiria kilichotokea hapa. Naamini huyu mzee aliyekifua wazi aliuwawa. Picha ya chini inaonyesha mtu wa mwisho kupewa adhabu ya kuchinjwa na Alqaida, huko Aleppo Syria kwa siku hiyo. Jamaa anachinjwa kama ng'ombe.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…