Most educated people in Africa are poor. Not just poor, but very Poor. Why?

This is a very good lesson I learnt from you let me change my perspective then I will come back with a new thread. Thank you and am still learning.
Umekuwa na haraka kumkubalia unayemjibu. Ulikuwa sahii kwa kuwa wengi na pengine wote hawaendi vyuoni kupata elimu bali kupata karatasi ya kutafutia ajira.
 
Umekuwa na haraka kumkubalia unayemjibu. Ulikuwa sahii kwa kuwa wengi na pengine wote hawaendi vyuoni kupata elimu bali kupata karatasi ya kutafutia ajira.
Lugha Yake ya kuandikia Ilikuwa ya kimabishano zaidi Sio ya kuelimishana.. Ndo maana nimemuepuka kisomi.....
 
bob marley.jpg
 
Aaaaah wewe jamaa una akili vibaya hongera yani umetiririsha mawazo na hoja zilizoshiba naamini kwa kuwa bright hivi mpaka kwenye maisha ya kawaida upo bright uwezi uliotumia kueleza sio wakawaida
Mshukuru jamaa kwa kutuletea hii article kutoka kwa Wakenya,mitandaoni huko Kenya article hii iko kitambo tu.
 
Umekuwa na haraka kumkubalia unayemjibu. Ulikuwa sahii kwa kuwa wengi na pengine wote hawaendi vyuoni kupata elimu bali kupata karatasi ya kutafutia ajira.
Endapo utaenda chuoni kufuata elimu ni elimu gani unayoipata kupitia colonialism
 
Lugha Yake ya kuandikia Ilikuwa ya kimabishano zaidi Sio ya kuelimishana.. Ndo maana nimemuepuka kisomi.....
Acha izo jamaa yupo sahihi alichoandika anakijua na kina mantiki kaweka wapi ubishani iyo article yenu umeanfika mambo ya kukariri tu
 
Back
Top Bottom