deonova JF-Expert Member Apr 22, 2013 742 417 Dec 20, 2013 #41 Watu wengine sijui wakoje bwana, yaani mtu kwenda nyumbani kwenu ni ushamba? kwa hiyo kuwatelekeza kwenu na kuishia mjini ndo ujanja sio? Hopeless & be Ashamed to ear out pumba like this.
Watu wengine sijui wakoje bwana, yaani mtu kwenda nyumbani kwenu ni ushamba? kwa hiyo kuwatelekeza kwenu na kuishia mjini ndo ujanja sio? Hopeless & be Ashamed to ear out pumba like this.
grndossy JF-Expert Member Apr 20, 2011 311 80 Dec 20, 2013 #42 mwitu said: kweli Wachaga washamba sana yaani kila december lazima waende moshi. Nasikia na wenyewe siku hizi wanaua kama wakinga! Click to expand... Hivi mshamba ni yupi? Anayethamini kwao au asiyethamini kwao? Leo unaona kwenda kwenu ni ushamba? Kaaaazi kweli kweli!!!!!!!!!
mwitu said: kweli Wachaga washamba sana yaani kila december lazima waende moshi. Nasikia na wenyewe siku hizi wanaua kama wakinga! Click to expand... Hivi mshamba ni yupi? Anayethamini kwao au asiyethamini kwao? Leo unaona kwenda kwenu ni ushamba? Kaaaazi kweli kweli!!!!!!!!!