figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,760
- 63,096
Daladala katika Manispaa ya Moshi Kilimanjaro, zimegoma zikitaka SUMATRA kuondoa bajaji kwenye barabara wanazotumia.
Bajaji inaenda kwa tyres tatu na daladala inaenda kwa tyres 4
PoaBajaji inaenda kwa tyres tatu na daladala inaenda kwa tyres 4
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bajaji inaenda kwa tyres tatu na daladala inaenda kwa tyres 4
kweli mkuu, uwa inaniuma sana io mia sitaWalete tu, kutoka ushirika wa neema eti unatumia mia sita hadi mjini,
Kachukue uendeshe mwenyewe c unapenda hela mangiWagome tu. Lakini jioni nataka hesabu yangu 40000