kauli mbiu ya watu WA Moshi ni KULA CCM KURA CHADEMA.Moshi wanavyowababaikia wenye pesa huyu Mosha akigombea ubunge atashinda.
Bilionea Davies Mosha anajipanga vilivyo kugombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CCM. Mosha ni mzaliwa na kukulia kata ya Kiborloni, Jimbo la Moshi Mjini na kata ya Kiborlon vimekuwa ngome ya CHADEMA chini ya mzee Ndesamburo maarufu kama Ndesapesa kwa muda mrefu lakini bilionea Mosha anaamini kwa ukwasi wake anaweza kulitwaa na kutinga bungeni.
Mzee Ndesa ameshatangaza kutogombea tena.
Lengeri.
kauli mbiu ya watu WA Moshi ni KULA CCM KURA CHADEMA.
Moshi wanavyowababaikia wenye pesa huyu Mosha akigombea ubunge atashinda.
..ana ubiliönea gani huyo mlala hoi tu, au siyo huyu alikuwa Yanga?
..ana ubiliönea gani huyo mlala hoi tu, au siyo huyu alikuwa Yanga?