Morris Chestnut: Is this dude a chick magnet?

hiyo smile ni kama anaona huruma akicheka mbele ya mdada !
ahahahhahahha
hv lini nimeanza kupenda sura za watu? watu8 sijapenda kabisa huu utafiti wako
UMETUMWA!?
 
Last edited by a moderator:
Okay...
So Denzel at his age alikuwa anakuvutia kwa lipi...sana sana eleza kitabia zaidi kuliko muonekano.
ah na we bana hueleweki we umesema tujadili muonekano!
sasa hayo matabia ya nini mtani!
kwani umesikia sisi kina mama malezi!
we tukomae kwenye muonekano tu!
af huyu denzel huyu!
:tape:
:tape:
 
hiyo smile ni kama anaona huruma akicheka mbele ya mdada !
ahahahhahahha
hv lini nimeanza kupenda sura za watu? watu8 sijapenda kabisa huu utafiti wako
UMETUMWA!?

Hahaha....mtani sitaki watu wajikite sana kwenye muonekano wa sura bali nilikuwa nalenga mjadala uende zaidi kwenye tabia aioneshayo jamaa akiwakilisha wanaume.
Mtani na wewe huyu kiumbe huwa analegeza skrubu za mtima wako? Kama ndio hebu funguka wanaume wachukue notsi ili nao wawe sumaku kitaa...
 
Last edited by a moderator:
ah na we bana hueleweki we umesema tujadili muonekano!
sasa hayo matabia ya nini mtani!
kwani umesikia sisi kina mama malezi!
we tukomae kwenye muonekano tu!
af huyu denzel huyu!
:tape:
:tape:

Mtani jadili tu hata muonekano pia
 

AHAHAHAHAHHA niuze ramani ya vita!
wanaweza wakaaandamana ujue!
wakanitoa kwenye kundi la JF WOMEN!
chini ya uenyekiti wa mama mchungaji Kaunga
 
Last edited by a moderator:
THE GUY KNOWS HOW TO TREAT A LADY bana!
ehehehhehehhehehhheheh
 
Mkuu si yeye wamefanana tu...huyo wa Single Ladies anaitwa D.B Woodside.

Huyu ninayewauliza wadada hapa kaigiza movies kadhaa ila maarufu ni 'Not Easily Broken' na 'Think Like a Man'

Not easily broken yah nimempata!!ok ngoja tusubiri majibu
 
THE WAY ANAMWANGALIA HIS WOMAN!
uuuwih unakuwaje marinnated bila hata soy sauce!
 
Kaka mkubwa watu8 naona wamegoma kama alivyosema mtu mmoja hapo kuuza ramani ya vita kama vip wahojiwa under a mild intravenous G/ A dose

Eeenh tufanyaje saasa na sie tumechoka kisubiri,wawadunge tu na mi nasema wadungeni!!!!!
 
THE GUY KNOWS HOW TO TREAT A LADY bana!
ehehehhehehhehehhheheh

Mtani hapa sasa unaongea...
I guess mabest zangu wa kiumeni watakuwa kando kusoma how to swagg around em gals
 
Mkuu hata wasipokuja si mbaya nitahamishia research yangu kwenye online forums nyinginezo za nje huwa kuna aina hii ya mijadala...

Kaka mkubwa watu8 naona wamegoma kama alivyosema mtu mmoja hapo kuuza ramani ya vita kama vip wahojiwa under a mild intravenous G/ A dose

Eeenh tufanyaje saasa na sie tumechoka kisubiri,wawadunge tu na mi nasema wadungeni!!!!!
 
ana ile sauti flani bana!
uuuwih!
yani kama tigo wangempa ukastama care yule mi kila siku ngekuwa napoteza line ya simu!
 
Morris has what we call a million dollar hug!
na analitoaje kwa mbwembwe sasa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…