Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,504
- 11,738
Inekuwa kawaida sasa kwa mkoa wa Morogoro "kutuletea" wabunge wa sampuli ya Mwijaku na ndomana sijashangaa Mwijaku kukimbilia kuchukua form huko. Ni nyie mlituletea Goodluck Mlinga yule comedian bungeni lakini haitoshi mkatuletea Babu Tale ambaye sote tumeona uwezo wake!
Nakumbuka kuna kipindi mliandamana Moro mjini mkidai ushindi wa Afande Sele, kwa maelezo yenu ni kuwa huyo ndo aliyekuwa chaguo lenu ila aliibiwa kura!
Sitaki kumtaja Professor Jay kwasababu angalau alionesha utofauti kidogo na leo hii nimemuona Mwijaku kachukua form na sitashangaa mkituletea huyo mtu Bungeni!
Morogoro niwaulize swali: hivi ni kweli kuwa hamna watu smart wa kuwawakilisha mjengoni mpaka mfikie hatua hiyo ya "kuokota" yeyote yule!?
Moro mna nini nyie mbona wenzenu wanaamka kwa kasi!? Hizo ngoma na minanda hazitawasaidia kitu kama hamtakuwa na mtu proper wa kuwasemea bungeni. Nyie ndo mkoa wenye matatizo lukuki ya miundombinu kutokana na jografia ya mkoa wenu lakini hilo hamlioni!
NB: upande wa wabunge wa viti maalumu sitaongea lolote leo maana huko ndo uchafu mtupu!