Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,856
- 32,659
𝗧𝗔𝗔𝗥𝗜𝗙𝗔
Wakuu ....kitaalamu tunaitaje hii
Taarifa Kutoka Morocco hadi sasa tayari tiketi zote majukwaa ya zone 4 na zone 7 zimekwisha.
Na leo tiketi za Zone 5 zimekwisha Sasa zilizobaki ni hizi za mabosi VVIP je Mwekezaji atakuwepo nae Casablanca Kama alivyokuwa kwa mkapa.
NB;Kwa wale ambao wameshaingia Uwanja wa mkwakwani Tanga ni sawa tu nakusema jukwaa la urusi limeshajaa
.
NB: picha haihusiani na mada ..... nmejaribu kutabiri
Wakuu ....kitaalamu tunaitaje hii
Taarifa Kutoka Morocco hadi sasa tayari tiketi zote majukwaa ya zone 4 na zone 7 zimekwisha.
Na leo tiketi za Zone 5 zimekwisha Sasa zilizobaki ni hizi za mabosi VVIP je Mwekezaji atakuwepo nae Casablanca Kama alivyokuwa kwa mkapa.NB;Kwa wale ambao wameshaingia Uwanja wa mkwakwani Tanga ni sawa tu nakusema jukwaa la urusi limeshajaa

.NB: picha haihusiani na mada ..... nmejaribu kutabiri
