Morocco teachers protest over working conditions

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,566
Reaction score
4,013
Zaidi ya walimu 10,000 wameshiriki maandamano mapya leo nchini Morocco wakitaka kuboreshwa ya hali na mazingira ya kazi.

Maelfu ya walimu hao wanaotaka ajira ya kudumu ambao wengi ni vijana, waliandamana kwa amani katika mitaa ya Rabat.

Polisi walivunja mkutano wa waandamanaji hao pale walipokataa kuitikia wito wa polisi wa kuondoka katika eneo la mkutano, kwa zaidi ya saa mbili. Hayo ni kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa shirika la habari la AFP.

Walimu ambao mikataba yao si ya kudumu, wanalipwa mishahara sawa na wenzao wenye mikataba ya kudumu, lakini hawapati haki sawa na wenzao wanapostaafu.


====

Several thousand Moroccan teachers are staging a protest in the capital, Rabat, hours after police dispersed an earlier demonstration.

They are demanding permanent contracts, better working conditions, as well as protesting against the rising cost of living.

Earlier, police in riot gear used water cannon to end an overnight sit-in outside parliament by 15,000 teachers.

Protesters have turned down government proposals to end the dispute.

The teachers on temporary contracts, who are mostly in their 20s and 30s, have been staging regular strikes over recent weeks.

Two weeks ago, they staged sit-ins at regional academies in different cities.

They earn the same wages as their colleagues on permanent contracts - about 5,000 dirhams (£400) a month - but are demanding full benefits and pension rights.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…