Wanajamii leo nimeamua kujitokeza kutangaza nia, nahitaji mume, mimi ni bint nina miaka 28 mnene kidogo 90kg,urefu 165m kitanzania tunasema ninaumbo namba nane na nina mtoto mmoja, nimetokea kaskazini yani (Mchaga pure). Vilevile ni degree holder na ninafanya kazi.
Sifa za ninaemuitaji ni zifuatazo, awe na umri kuanzia miaka 32 - 35, awe ana jali, anatambua utu ni nini, mkweli na anaejiheshimu kwa kifupi awe "Gentleman" . hata kama ana mtoto kama mimi ni vizuri pia.
Kwa mwenye nia tuwasiliane kwa E-mail ifuatayo
mage.carlos@yahoo.com.

Ukiona email hii fidel80@jamiiforums.com ujue ni mm.
Nina kila sababu ya kukucheck hata mm natafuta mchumba
all the best Mage, vp utamuhitaji kama ni mwanaume aliyewahi kuoa na ana watoto?
Wanajamii leo nimeamua kujitokeza kutangaza nia, nahitaji mume, mimi ni bint nina miaka 28 mnene kidogo 90kg,urefu 165m kitanzania tunasema ninaumbo namba nane na nina mtoto mmoja, nimetokea kaskazini yani (Mchaga pure). Vilevile ni degree holder na ninafanya kazi.
Sifa za ninaemuitaji ni zifuatazo, awe na umri kuanzia miaka 32 - 35, awe ana jali, anatambua utu ni nini, mkweli na anaejiheshimu kwa kifupi awe "Gentleman" . hata kama ana mtoto kama mimi ni vizuri pia.
Kwa mwenye nia tuwasiliane kwa E-mail ifuatayo
mage.carlos@yahoo.com.
Umejuaje?????Wakaka kazi kwenu naona CV yake iko poa sana na ninaona ni muwazi sana huyu mrembo haya jamani tumeni email kwa mrembo huyoooooooo
Wewe kuna sehemu ulisema una mke au umeshamuacha nini??
Smasher at workHebu ni PM kwanza nione kama upo seriouz!!!
Oooops!!then nitakupa mail address yangu,pia vipi ulikuwa UMEOLEWA???!!!!
Umejuaje?????
Unataka kumpelekea mwenzio uzee umfie kitandani!?hiyo red tu ndo kikwazo kwangu, ila kwingine kote nnafit :A S 20::A S 20:
Wanoko mmesha anza kubana ridhiki za watu, wapi nilisema lete ushahidi
Ngoja niperuzi. Lakini ridhiki mafungu saba unaweza ikawa bahati yako